Kakuambia nani jaribu uimiliki ikwa na zaidi ya km100.000 utaona gharama za kuimantain hiyo gari, acha ubishi Mnyaru kazileta nyingi hapa ila mitaani hazionekani ziko gereji au majumbani zimepaki, raha ya hiyo gari iwe na KM 50000 au mpya kabisa hapo utakua na guarantee angalau ya miaka ya miaka mitano bila kununu vipuri vopya.