Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,117 Dec 9, 2014 #1 wao wakaita ni Africa problems
dawa yenu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 2,833 Reaction score 3,753 Dec 9, 2014 #2 kweli hiyo ni DISKO LILIPOINGIA MMASAI na sio mmasai alipoingia disko
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,013 Dec 9, 2014 #3 Nani alaumiwe
Jodoki Kalimilo JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 12,673 Reaction score 11,343 Dec 9, 2014 #4 Hiyo ilikuwa ni sehemu ya tukioya kucheza na huyo Kinana alafu litafuata tukio lingine la bibi na bwana harusi kufukuzana kwenye ufukwe
Hiyo ilikuwa ni sehemu ya tukioya kucheza na huyo Kinana alafu litafuata tukio lingine la bibi na bwana harusi kufukuzana kwenye ufukwe
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,676 Dec 9, 2014 #5 masai dada ilikuaje ukaingia disco kwa watu?? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,117 Dec 9, 2014 Thread starter #6 MO11 said: Nani alaumiwe Click to expand... Mpwa wangu masai dada Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,117 Dec 9, 2014 Thread starter #7 Jodoki Kalimilo said: Hiyo ilikuwa ni sehemu ya tukioya kucheza na huyo Kinana alafu litafuata tukio lingine la bibi na bwana harusi kufukuzana kwenye ufukwe Click to expand... Hawadanganyiki Jodoki Kalimilo hapo kila mtu lwake Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Jodoki Kalimilo said: Hiyo ilikuwa ni sehemu ya tukioya kucheza na huyo Kinana alafu litafuata tukio lingine la bibi na bwana harusi kufukuzana kwenye ufukwe Click to expand... Hawadanganyiki Jodoki Kalimilo hapo kila mtu lwake
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,761 Dec 9, 2014 #8 hapo hawajuani hapo
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 Dec 9, 2014 #9 Huyo bwana harusi anafanana na kinana
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,117 Dec 9, 2014 Thread starter #10 Marire said: Huyo bwana harusi anafanana na kinana Click to expand... Kumbe ndio maaana...!!!!
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,766 Reaction score 2,076 Dec 9, 2014 #11 Hahahahahaaaa
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,575 Dec 9, 2014 #13 Hivi wewe mshana jr unataka nini haswa!!!??? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,761 Dec 9, 2014 #14 OLESAIDIMU said: Hivi wewe mshana jr unataka nini haswa!!!??? Click to expand... hahahaha kaka upo mbona mwaliko sijapata mmenisahau Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
OLESAIDIMU said: Hivi wewe mshana jr unataka nini haswa!!!??? Click to expand... hahahaha kaka upo mbona mwaliko sijapata mmenisahau
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,408 Reaction score 99,281 Dec 9, 2014 #15 They call it africa but we call it home. Watoto wa kizungu mambele wanajua kwamba africa wanaishi wanyama tu.
They call it africa but we call it home. Watoto wa kizungu mambele wanajua kwamba africa wanaishi wanyama tu.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,117 Dec 9, 2014 Thread starter #16 King Kong III said: They call it africa but we call it home. Watoto wa kizungu mambele wanajua kwamba africa wanaishi wanyama tu. Click to expand... They may go to hell...!!!
King Kong III said: They call it africa but we call it home. Watoto wa kizungu mambele wanajua kwamba africa wanaishi wanyama tu. Click to expand... They may go to hell...!!!
egentle JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 808 Reaction score 392 Dec 9, 2014 #17 mshana jr said: View attachment 209341wao wakaita ni Africa problems Click to expand... Ilitakiwa wakati wanafunga ndoa waseme, MPAKA TEMBO ATAKAPO TUTENGANISHA
mshana jr said: View attachment 209341wao wakaita ni Africa problems Click to expand... Ilitakiwa wakati wanafunga ndoa waseme, MPAKA TEMBO ATAKAPO TUTENGANISHA
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Dec 9, 2014 #18 Haina kugeuka hiyo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,117 Dec 9, 2014 Thread starter #19 HARUFU said: Haina kugeuka hiyo Click to expand... Break ya kwanza chooni