Disco lavunja ndoa yangu jamani.Mnishauri

Disco lavunja ndoa yangu jamani.Mnishauri

Jamani wanajamvi hamjambo!

Mwenzenu yamenikuta,ninampenzi wangu wa muda mrefu na tulikubaliana tufunge ndoa mwezi wa kumi mara tu nimalizapo ujenzi wa nyumba ya kuishi,

Kila siku namkataza asiende disco lakini mwenzangu kuna wakati anatulia lakini sasa amefikia hatua ikifika jumatano anajigombanisha na anaenda kulala kwao ili ijumaa aende disco.

Kwa kweli nimemvumilia sana na nampenda ila kwa kitendo cha kwenda disco.

Kiliniuma sana na nikamwambia mim nimeshindwa nimeghail yeye akajibu poa.

Naomba ushauri kwa hili na sipendi matusi kwani mwenzenu,nimevurugwa.
Pole sana kaka!kwani wewe una umri gani na yeye je?
 
Hivi mpaka leo kuna watu wanaenda Disco...doh kwel umri umenitupa mkono


temana nae huyo Hakufai
 
kweli kabsa kwan hata nidham ya mume mtarajiwa imeisha.kitu kinachoniumiza ni kwamba nashindwa kumsahau.nishaur ili nimpoteze mazima

Tafuta msichana mwingine wa kujikeep busy nae kama mshikaji tuu... Utamsahau lazima
 
Asante kwa ushauri mkuu,kwa hyo niendelee na mcmamo wangu wa kuachana nae moja kwa moja.?

Shukuru Mungu kakuonesha mapema. Assume angeanza kwenda disco akiwa ktk ndoa, ungejisikiaje?
 
Pole. Hakika jua kuwa kuna mpenda disco mwenzake ambaye ndiye mume wake. Fuata uliye na mwenendo sawa na wako mzee.
KILA SHETANI NA MBUYU WAKE.
 
Pole wakwetu madisco yenyewe Famale bure male pey "mh mhh" wengi tunateseka .......... Mungu anakupenda ndugu mteme.
 
Asante kwa ushauri mkuu,kwa hyo niendelee na mcmamo wangu wa kuachana nae moja kwa moja.?

kaka haapo jibu liko wazi, kama yeye amejibu poa,wewe utasema nn tena hapo? otherwise wewe uwe chini na kujipendekeza tena kitu ambacho utakuja kujuta, jibu liko wazi ya kuwa hakufai huyo kaka, umia tu kwa muda mana ulishamzoea then songa mbele
 
Tafuta msichana mwingine wa kujikeep busy nae kama mshikaji tuu... Utamsahau lazima

Aisee hii njia huwa inasaidia sometimes ingawa ni vibaya kumtumia mtu kusahau machungu yako, but YES kama utapata msichana mwingine au chagua tu mmoja kati ya marafiki zako wa kike afu ji-keep close naye, within a short time utaanza kumsahau mama disco. Sio effective way kwa 100%, but itakusaidia kupunguza machungu. Kila la kheri

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Shukuru Mungu kakuonesha mapema. Assume angeanza kwenda disco akiwa ktk ndoa, ungejisikiaje?

yaaan we acha tu.tatzo nimemzoea nashindwa kumsahau moyon
 
kaka haapo jibu liko wazi, kama yeye amejibu poa,wewe utasema nn tena hapo? otherwise wewe uwe chini na kujipendekeza tena kitu ambacho utakuja kujuta, jibu liko wazi ya kuwa hakufai huyo kaka, umia tu kwa muda mana ulishamzoea then songa mbele

asante kaka kwa ushauri.nitazingatia
 
Hili nalo ni la kusababisha kuvunjika kwa ndoa!? Mbona mnapenda kutafuta matatizo yasiyokuwepo!? Mwenzako umemkuta anapenda kujirusha kwenye Disco na bado hukuona ni tatizo ukaamua kumpenda sasa iweje tena uanze kumkataza kwenda mahali ambapo anapenda kwenda!? Kwanini msiende pamoja ili wote mkajirusha kwa raha zenu!? Dah!!!! Matatizo mengine kwenye mahusiano mnayatafuta wenyewe.

 
Last edited by a moderator:
mm 34 na yey 23
Ok.Pole sana wewe unafikiria maisha yeye bado anacheza kuwa na msimamo mkuu atakusumbua sana huyo mwanamke wa hivyo,kila siku atakua anatafuta sababu ya ugomvi ili afanikishe lake,achana naye
 
kampan anaefuatana nae kwenda disco ni ma l a y a,alafu uko ndo awali nilmkuta na mwanaume lkn akaachana nae,nahic kule ndo mwanzo wa kila kitu

sasa kaka ukitembeana mwizi nawe ni mwizi achana nae atakuua bure ndugu yangu ila kipindi kingine ucweunawachukulia uko au sehemu yeyote ile ya starehee maana wengi wao uenda uko kibiashara zaidi japo si wote ila huyo inaonekana ni kibiashara zaidi na ..... aachi asili pole ila bora umegundua ilo mapema mteme songa mbele
 
Back
Top Bottom