Disadvantages of being handsome

Disadvantages of being handsome

Duuuh bas leo kila m'baba hum atajifanya hendsam
 
Number 3,4,7,8&9 ni kweli kabisa. Ni shida.
 
wanaume wengine wazuuuuuriii had ukimvalisha kimini kinakubali hahahaaaaa
 
Tutafsiri shemegi hata Preta nae anaona vinyota nyota tu
Preta au Honey Faith ?

Naomba unitafsirie?

Ni hivi mshenga wangu Bi. farkhina na kipusa Bi. Honey Faith...

Saikolojia ya kuvutiwa baina ya mwanamke na mwanaume ni ile ile lakini si saikolojia ya kupenda...

Mwanaume na mwanamke wote huvutiwa na kitu au mtu anayependeza machoni maana ni fahari kwa wengine...

Wakati mwingine mahusiano ni kama milki ya ufalme, namna unavyokuwa na vitu vilivyonona ndivyo thamani ya ufalme inapokuwa juu...

Mwanamke kuwa na mwanaume mzuri tu, lazima utaona ufahari mbele ya wenzako hata kama hutajitutumua na kujifaragua kwa maneno lakini namna ya kujiamini itaongezeka maradufu bila shaka...

Sijui kama nimeeleweka kwenu...
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh hii inahusu mahandsome bwois....

Angawa hawavutiagi hawa wanahisi kila mtu anawataka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom