skydmx
JF-Expert Member
- Jun 3, 2010
- 229
- 96
disa unaipata hapa : https://play.google.com/store/apps/details?id=com.disa hii program badili ya OGWhatsap na inafanya kazi vizuri sana just ukisha maliza kuinstall ingia add service then active utapata ndani yake link ya whatsap. jaribuni kuingia google na kuifaham jinsi ya kuinstall. nami nitashusha video soon hapa.