Dirty talk wakati wa kufanya mapenzi

Dirty talk wakati wa kufanya mapenzi

Hii sio dirty talk ni mengineyo😂 sasa ukikutana na mchaga unataka akuambie nini kama sio kukupa ahadi za kukununulia ndege?
Mhm anakumbukaje mambo ya ndege wakati hapo tunatakiwa full attention kwenye mbususu
 
Too much talkative mie hapana... ongea kidogo act sanaaaaaa[emoji12]!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila Eve
kuna raha sana kuwasikiliza watu wakiwa kwenye mgegedo yani unatega sikio kwa makini hadi mapigo ya moyo yanazidi kawaida..... halafuuu kuna nyie watu wa silent mode 🤨 sio poa
 
Ukijikausha nami nakausha...unguruma hata kidogo khaa.Dirty talk inasaidia katerero kushtuka kidogo.Umekausha utafikiri upo kuua nyoka 🙄 😵
 
Back
Top Bottom