Dirty secrets behind your cellular phone


Nilipoanza kusoma comment yako nilianza mmh kumbe wamaanisha jitu kingine nimechekaaa...... salute mkuu
 
Nina password Kama 100 kwenye sim yangu Mpaka zinanikera....ila sijaoa...nikiamua kuoa password inabidi niache...God giv me stregth.

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
PIN Ni muhimu sana hata iweje huwezi nishawishi ku-share password !


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukitaka kukorofishana na demu wako mwambie leo naenda kazini na simu yako na ww chukua simu yangu!Niliwahi tukanwa hadi jina la Mama yangu la utotoni ahahahaha!

Maskini kumbe wala hakujua kama namtania tu maana mm mwenyewe pia kimeo!

Hahaahaaaa Uuuwii uli intunguru ugwe.....
 
Na PM unatumia pc yenye chogo?
inabidi kuweka pw hadi kwenye charger hehehe.

cheating is a project aisee
mkuu BAK kuna kitu inaitwa PM...hadi room number tunamalizia hukuhuku simu haihusiki kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Nyumbani kwangu password marufuku......

Akitaka atafute simu ya kutumia vifichoni hukooooo but password? Big NO
 
the only solution for this ni kubaki njia kuu michepuko sio dili .hakuna haja ya kuwa na password
 
the only solution for this ni kubaki njia kuu michepuko sio dili .hakuna haja ya kuwa na password

Na ukiona mtu anahangaika na mipassword ujue anamengi anayafanya...I real hate ...
 
Yote haya mimi nimeshayasema mara nyingi tu humu likiwemo la IDs ambazo watu tunatumia humu.

Wangapi humu wamo kwenye ndoa na wenza wao wa hizo ndoa hawazijui ID(s) zao za humu, achilia mbali kujua hata kama wamo humu? Kuna uwezekano kabisa wa mume na mke wote wakawemo humu lakini kila mmoja wao anadhani mwenzake hayumo humu na/au hata haijui kabisa JF!!!!

Au hata kama wanazijua, wanazijua ngapi (ukiingiza katika mlinganyo uwezo wa kuwa nazo zaidi ya moja)?

Wangapi humu wanachiti kihisia na watu wa humu humu?

Ndiyo maana mimi naamini kabisa kuwa, kwanza, binadamu kwa asili tu, ana kiwango kikubwa tu cha kutokuwa mwaminifu (katika suala au jambo lolote lile). Pili, mtu anapohakikishiwa au anapojihakikishia kuwa kuna faragha, ana uwezo wa kufanya lolote lile pasipo kuathiriwa na hali yake ya kimahusiano ya kimapenzi.

Pia, hii makala inaipa nguvu ile hoja ya 'kama huna la kuficha, kwa ufanye yote hayo ikiwemo kutokumruhusu mwenza wako ashike au atumie hiyo simu yako'?

Poleni mlioko kwenye ndoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…