Simu kila kitu changu lazima kiwe na password kali. Screen password na service passwords. Sometimes na share passwords na mke wangu lakini kutokana na mi password yangu kuwa complicated na ina badilika kila baada ya muda ameshindwa kwenda na hii situation.
Ingawa wakati wowote aki akitaka ku access namfungulia anaendelea.
Kwangu password ni muhimu kwa watu wa nje. Simu ndo kila kitu sasa. Unauthorised access yaweza kuleta nadhara makubwa. Imagine simu imeibiwa halafu iko uchi...watu wanaona kila kitu chako, dili zako kwenye email,sms picha n.k. please nasisitiza wekeni password kwenye simu