KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,321
Ivi unathani ni kwanini akili yako imeji-tune huko baada ya kuona hii picha?
Je unadhani uko normal?
Kwanini hukufikiria kitu kingine?
View attachment 102985
Na hapa je utatafsirije?
Kusanya rambirambi mimi naahidi sh. 200,000/=wamefiwa na watoto.