TusubiriAsante sanaaa...
Wakuu Mwenye uelewa jinsi ya Kufanya application kupitia NACTE online, tunaomba aweke mwongozo hapa kusaidia/kurahisishia wengine.
Mkuu hebu cheki tena: Tangazo hili ni la March (2019/2020) intake na lilitoka January 15, 2020). Tangazo sahihi ni la September intake(2020/2021) ambalo limetoka leo (15/06/2020) NACTE website..Vijana changamka, omba vyuo.
Kila la heri!
===
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDITAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAOMBI YA UDAHILIWA MACHI2020 (MARCH INTAKE) KWA WAOMBAJI WA ASTASHAHADA NA STASHAHADA
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura ya 129, ili kusimamia na kuratibu utoaji wa elimu na mafunzo ya ufundi katika Vyuo ambavyo si Vyuo Vikuu ama Vyuo Vikuu Vishiriki nchini. Jukumu mojawapo la Baraza ni kuhakikisha kuwa mafunzo yanayotolewa katika Vyuovya Ufundi nchini yanakidhi vigezo na ubora unaohitajika katika soko la ajira ndani na nje ya nchi.Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuufahamisha umma kuwa Udahiliwa wanafunzi katika ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa kozi/programu zote isipokuwa Ualimu umefunguliwa rasmi kuanzia tarehe 15 Januari, 2020 hadi Tarehe 20 Februari, 2020kwa vyuo vyote vinavyotoamafunzo katika ngazi hizokwaUdahili wa mwezi machi.
Aidha Udahili huu hautahusisha waombaji wa programu za Afya kwenye vyuo vya Serikali. Hivyowaombaji wa programu hizo waombe kwenye vyuovyaafya visivyo kuwa vya SerikaliKwa waombaji wa programu za afya kwenye vyuo visivyo vya Serikali na waombaji wa progrmu nyingine zotewatatakiwa kuomba moja kwa moja kwenye vyuo husika. Aidhavyuo vitapokea maombi na kufanya chaguzi kwa wanafunzi wenye sifa na kisha kuwasilisha NACTE majina ya waliochaguliwa kwa ajili ya uhakiki kabla ya kuyatangaza. Vilevile vyuo vinaelekezwa kuzingatia taratibu za udahili kama zilivyotolewa na Baraza katika mwaka wa masomo 2019/2020.
Baraza pia linataarifu umma na vyuo kwamba udahili katika programu ya Huduma ya Afya Ngazi ya Jamii (Community Health)umesitishwa hadi hapo itakapotangazwa tena.Wahitimuwote wa Elimu ya Sekondari na vyuo wenye sifa za kujiunga na kozi za Astashahada na Stashahada, wanashauriwa kufanya maombi kwa umakini ili kuweza kupata nafasi ya kujiunga programu wanazozipenda na ambazo wanatimiza vigezo/sifa za kujiunga nazokwa mwaka 2019/2020.
Baraza linawashauri waombaji na wazazi kuhakikisha kuwa wanaomba kwenye vyuo vinavyokidhi ubora ambavyo vimeorodheshwa kwenye Kitabu cha Mwongozo wa Udahili kwa mwaka wa masomo 2019/2020(Admission Guidebook for 2019/2020 Academic Year). Mwongozo wa Udahili unapatikana katika tovuti ya NACTE (www.nacte.go.tz).
IMETOLEWA NA:OFISI YA KATIBU MTENDAJIBARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)TAREHE: 15/01/2020
Vipi kuhusu vyuo vingine application zinafunguliwa lini ???Vijana changamka, omba vyuo.

Kwahiyo unamaanisha sio kwl auMkuu hebu cheki tena: Tangazo hili ni la March (2019/2020) intake na lilitoka January 15, 2020). Tangazo sahihi ni la September intake(2020/2021) ambalo limetoka leo (15/06/2020) NACTE website..
March intake 2019/2020 ilikamilika na ndiyo iliyo vurugwa na COVID 19 na waliochaguliwa ndio walioreport Juni 1, 2020.
Waliweka mods, not me na sijalisoma!Mkuu hebu cheki tena: Tangazo hili ni la March (2019/2020) intake na lilitoka January 15, 2020). Tangazo sahihi ni la September intake(2020/2021) ambalo limetoka leo (15/06/2020) NACTE website..
March intake 2019/2020 ilikamilika na ndiyo iliyo vurugwa na COVID 19 na waliochaguliwa ndio walioreport Juni 1, 2020.
Tuwaombe mods warekebishe, watuwekee la leo.Waliweka mods, not me na sijalisoma!
Let me do it!Tuwaombe mods warekebishe, watuwekee la leo.
Ukiwa makini litakuchanganya. Liwekwe la leo.Kwahiyo unamaanisha sio kwl au
Thanks mkuu.Let me do it!
nimerekebisha, naomba mrejeshoMkuu hebu cheki tena: Tangazo hili ni la March (2019/2020) intake na lilitoka January 15, 2020). Tangazo sahihi ni la September intake(2020/2021) ambalo limetoka leo (15/06/2020) NACTE website..
March intake 2019/2020 ilikamilika na ndiyo iliyo vurugwa na COVID 19 na waliochaguliwa ndio walioreport Juni 1, 2020.
nimerekebisha angalia na unipe mrejeshoUkiwa makini litakuchanganya. Liwekwe la leo.
Iko poa mkuu.nimerekebisha angalia na unipe mrejesho
mkuu naomba unieleweshe haya. 1:Eti pale kwenye guidebook ile sehemu iliyo andikwa 'admission capacity' wanamaanisha nini? 2😛ia admission requirements za ordinary diploma in clinical medicine na certficate yake,diploma in nursing and midwifery na certificate ya nursing zote ni 4 passes including biology,chemistry,and physics/engneering science, eti "PASSES" ni ipi kati ya A,B,C na D?Let me do it!
mkuu naomba unieleweshe haya. 1:Eti pale kwenye guidebook ile sehemu iliyo andikwa 'admission capacity' wanamaanisha nini? 2😛ia admission requirements za ordinary diploma in clinical medicine na certficate yake,diploma in nursing and midwifery na certificate ya nursing zote ni 4 passes including biology,chemistry,and physics/engneering science, eti "PASSES" ni ipi kati ya A,B,C na D?