Dirisha la aluminium 5 kwa 4 bei gani

onyx

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2016
Posts
1,587
Reaction score
1,319
Wakuu msaada wenu kama kichwa cha habari kinavyosema kabla sijaingizwa kingi

Nawasilisha
 
180,000/

Njoo inbox nakufanyia na Emirates , sio aluminium za kijinga!
 
Sorry nipe na mimi bei hapa
8x6
6x4
6x5
3x4
2x4
Na kwa faida ya wengine nipe bei hapa

Hongera Mkuu, mwenye nyumba akikuletea za kuleta piga grill madirisha na milango yote (security) weka nyavu za mbu halafu hamia, mimi ndivyo nilivyofanya na kumshangaza eti anapandisha kodi by then from 100,000/= hadi 150,000/= bila sababu hakuamini
 
Hahahhah kweli kabisa ila hapo natafuta nguvu ya grill na madilisha hayo ya Alminium
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…