Directory ya Afya toka TanzMED

Kilongwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Posts
423
Reaction score
116
Tuma,tafuta,thaminisha,jadili na pendekeza huduma za Afya
​
Ni mara ngapi umekuwa ukitafuta huduma za afya zilizo karibu nawe bila mafanikio? Timu nzima ya TanzMED inakuletea TanzMED Directory .Ukurasa pekee ndani ya TanzMED.com unaotoa nafasi kwa watoa huduma/bidhaa kujitangaza pia kwa wanajamii kutafuta huduma/bidhaa zenye uhusiano na afya kwa urahisi zaidi bila gharama yoyote.​

​
Sio hayo tu, TanzMED Directory inawawezesha wanajamii kuithaminisha na kutuma maoni kwa kila huduma hivyo kutoa mwanga zaidi kwa watumiaji wapya.

​
​
Kama wewe ni mtoa huduma/bidha au unafahamu huduma yoyote ambayo unaona inaweza kuwa na manufaa kwa wanajamii,basi itume moja kwa moja kwa kwenda HAPA . Kwa wanaotafuta huduma/bidhaa za afya nenda http://www.tanzmed.com halafu bofya Directory.



​
​

​
Changia TanzMED kwa kusambaza ujumbe huu​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…