Director kichwara?

Mzee wangu aliponea kwenye tundu la sindano kwa huyu jamaa, alikua akibukua pale Kampala - Makelele University mwaka 1977, jamaa angemchinja now nisingekuwepo hapa JF, bcoz even my mama alikua hajaolewa na mshua!
Aliponajee?
 
Idd Amin watanzania wengi tuliaminishwa kua alikua hafai kabisa. Aliipenda nchi yake na wananchi wake pia. Alikua mkali kwa watu weupe hakutaka waendelee kuishi kwa kujiona wao ni bora kuliko watu weusi. Ukweli ni kwamba hakupiga marufuku dini ya kikristu ila kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe aliupendelea sana uislamu.
 
Na hakuvumilia upinzani
 
Hivi Idd Amin Dada Alipiga Marufuku Mikutano Ya Kisiasa Hususani Kwa Wapinzani?
Kama Jibu Ni Ndiyo, Usingizi Nitaupata Kwa Taaaabuuuu Mtanganyika Mimi
 
Iddi Amini alikuwa mgonjwa wa akili

kumlaumu ni kutotumia akili....

na kama tukiruhusu 'mgonjwa wa akili ' mwingine basi kosa sio lake ni kosa letu
 
Hivi Idd Amin Dada Alipiga Marufuku Mikutano Ya Kisiasa Hususani Kwa Wapinzani?
Kama Jibu Ni Ndiyo, Usingizi Nitaupata Kwa Taaaabuuuu Mtanganyika Mimi
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji3] [emoji87] [emoji3] [emoji3]
 
Iddi Amin ni Role modal wangu:
Picha nyingi zilizotupiwa humu ni zile zilizopatikana kwny Movie za Uongo zilizomuigiza.
Iddi Amin alisimamia haki kwa watu wake
Kilichomchanganisha na Nyerere sio mpaka wa Kagera ni kitendo cha Nyerere kumuhifadhi Milton Obote na kugharimia makundi ya uasi dhidi yake kama ilivyofanyika kwa Kabila dhidi ya Mobutu au Raila Odinga dhidi ya Daniel Arap Moi 1983.
Baada ya kuangushwa Amin bado hatukuridhika tuliendelea kuisumbua Uganda kwa kumsakama Obote tena na wengine waliofata mpaka tulipofanikiwa kuweka Kibaraka Mtiifu Yoweri Kaguta Museven.
Tanzania ilikuwa Marekani ya East Africa wakati wa Nyerere kwa kuchochea ghasia katika nchi za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…