Bzimana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 554
- 161
Mbona na wewe umebofoa hapo nilipopafaka ranji ya zambalau...:der:
ha.! Majanga nawe!
Mbona na wewe umebofoa hapo nilipopafaka ranji ya zambalau...:der:
Mbona na wewe umebofoa hapo nilipopafaka ranji ya zambalau...:der:
duuuh!!! Leo kazi ipo.
Mbona na wewe umebofoa hapo nilipopafaka ranji ya zambalau...:der:
WANASALIMU WANA JF:
Natafuta DSA (Direct sales Agent) katika maeneo yafuatayo: KATESH NA DISTRICT ZA SINGIDA>
SIFA:
1.Awe ameshafanya kazi ya mauzo(sales)
2.awe anajua kusoma na kuandika
3.jinsi yeyote
4.awe mchapakazi
MALIPO:
Commission na pia atakuwa anapata retainer.
Kwawanaohitaji wasiliana nami kwa innomacha8427@gmail.com
spelling error ni kawaida jamani, kikubwa ujumbe ufike.
Tena mimi ni mtayanzania hasili
Umesema kweli mkuu, kukoseya kawada