Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 951
- 412
Ebanaee.... Kwa wale tunaongia mwaka wa pili diploma maalumu udom issue ya direct itakuwa kama mwaka jana au itakuwajee? maana mwaka jana walitukata kwenyee boom.
Kwahiyo mwenye taarifa na hii issue atujuze maana mtaani huku pesa hamna bora watuambiee kama watatukata tena au tupambane kuitafuta hiyo pesa.....
.....mwenye taarifa nalo atujuze....
Kwahiyo mwenye taarifa na hii issue atujuze maana mtaani huku pesa hamna bora watuambiee kama watatukata tena au tupambane kuitafuta hiyo pesa.....
.....mwenye taarifa nalo atujuze....