Tutoe taarifa sahihi ili vipaombele vya serikali viwe revealed
Tutoe taarifa sahihi ili vipaombele vya serikali viwe revealed
Bado tunasubiri mchanganuo wa kuonyesha kila wizara husika katika malipo hewa ya bilioni 40 kwa mwezi.
Khaaaaa!!! Angalia jinsi ulivyo mtupu!!!! tangu lini vipaumbele vya Serikali vimekuwa siri? Vipaumbele vinafanywa siri kwa faida ya nani!? Halafu eti unataka kuwa Rais!!!! Halafu naona umejisahau hapa na kuandika kama wewe mwenyewe gaidi siyo tena kama third party!!!!
Vidhihirike kutoka na taarifa sahihi
Ndugu yangu Eddo mkweli siyo kubeza tu bali kama kuna maendeleo ya kweli tutasema. Kama baba yako ana uwezo wa kukusomesha na hafanyi hivyo huwezi kuanza kumsifia tu eti kwa kukupatia ugali kila siku...kwanini asikusomeshe? Hapa ni ukweli TZ ingeliweza kupata zaidi ya hapo..kwanini tusifie badala ya kusema ukweli kwamba hawana jipya? Mimi nilikuwa mshabiki wa CCM lakini nimebaki kama jiwe siwezi kushabikia tu na kwa hakika siwaungi mkono kama Dr Lwaitama alivyosemaKm mpaka hapa uoni kazi ya chama cha mapinduzi hakika na wewe utakuwa miongoni mwa wale ambao kazi yao kubwa ni kubeza.
Ndugu yangu Eddo mkweli siyo kubeza tu bali kama kuna maendeleo ya kweli tutasema. Kama baba yako ana uwezo wa kukusomesha na hafanyi hivyo huwezi kuanza kumsifia tu eti kwa kukupatia ugali kila siku...kwanini asikusomeshe? Hapa ni ukweli TZ ingeliweza kupata zaidi ya hapo..kwanini tusifie badala ya kusema ukweli kwamba hawana jipya? Mimi nilikuwa mshabiki wa CCM lakini nimebaki kama jiwe siwezi kushabikia tu na kwa hakika siwaungi mkono kama Dr Lwaitama alivyosema
hana uwezo huo,halafu uongo hausaidii.Mwigulu anamkakati waitoa Tanzania ilipo kwama.Tumuunge mkono Mwigulu 2015
2025 mbona mbali? Lakni uzembe kazini au kufanya kazi kwa kiundugu undugu hatufiki popote watakao pata maendeleo ni watu wachache na sio taifa zima.
hana uwezo huo,halafu uongo hausaidii.
Barabara, maji, umeme na vinginevyo ni kodi za wananchi sio hela ya mtu mmoja au chama. Kinachofanya watu waongee ni usimamizi na matumizi ya kodi zetu, unatoa kwa masikini unapeleka kwa matajili. Wamepandisha bei ya umeme ikawa haitoshi wakaongeza service charge ya umeme na maji. Hapo naona hajatatua tatizo bali ameongeza.
2025 mbona mbali? Lakni uzembe kazini au kufanya kazi kwa kiundugu undugu hatufiki popote watakao pata maendeleo ni watu wachache na sio taifa zima.
Ndugu yangu Eddo mkweli siyo kubeza tu bali kama kuna maendeleo ya kweli tutasema. Kama baba yako ana uwezo wa kukusomesha na hafanyi hivyo huwezi kuanza kumsifia tu eti kwa kukupatia ugali kila siku...kwanini asikusomeshe? Hapa ni ukweli TZ ingeliweza kupata zaidi ya hapo..kwanini tusifie badala ya kusema ukweli kwamba hawana jipya? Mimi nilikuwa mshabiki wa CCM lakini nimebaki kama jiwe siwezi kushabikia tu na kwa hakika siwaungi mkono kama Dr Lwaitama alivyosema
hana uwezo huo,halafu uongo hausaidii.
Yaani 2025 bado tu timu iwe hii hii??!!![/QUOTE
ili nchi iendelee lazima iwe na short term na long term plans ndio maana kuna mkurabita na mkukuta na yote hii ni katika kuhakikisha matatizo yaliyopo yanapungua. mpk kufika huko 2025 yameisha.
Mwigulu ...ni nani?
Mipango mizuri...usimamizi mzuri unahitajika..!
Kwa matanuzi yenu ya Serikali yalivyo makubwa yaliyojaa anasa, kwa ukubwa huu wa Wizara na Idara, Kwa ufisadi huu - aisee hiyo ni ndoto ya mchana; wadanganyeni watu wa Iramba!!
"Miaka 100 ijayo Tanzania itakua nchi iliyoendelea zaid ya zile zilizoendelea".Shemeji akiwahutubia vijana pale 7/7 mwaka huu,sasa unashangaa hapo 2025 si ndo dira ya taifa inavyosema?tujiulize huo mpango wa taifa wa miaka mitano unatekelezwa?wananchi wanaujua?wameupitia?,kwanza zipo doc 2 sijui ipi inatekelezwa
Namba 6 inafanana na wale walionunua mashamba huko morogoro,tanga na kwingineko ila wameshindwa kuyaendeleza,na serikali inawaachia,maana wapo wanaomilik ambao ni miongoni mwao humohumo wafanya maamuzi