DIRA 2050

Arch Barrel

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2024
Posts
533
Reaction score
1,225
Habari za jioni wanajukwa wa Jamii Forum

Baada ya Dira 2050 kuzinduliwa leo, lakini pia kwa kuzingatia kuwa huu ndio muongozo wa Taifa kwa miaka 25 ijayo.
Pamoja na kuichambua kiundani mapungufu na mazuri yake, naomba watalam wa uchumi au wajuzi wa haya mambo mtuambie ni maeneo yapi ya kiuwekezaji yanaenda kuwa hotcake au yanafaa kuwekeza kwa miaka 25 ijayo.
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…