Akili Unazo! JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 3,930 Reaction score 4,938 Sep 4, 2009 #1 Wakuu kuna mshikaji wangu mmoja ndug yake yuko nje sasa kuna vitu anataka amatumie lakini kwa njia ya Diplomatic shipment transfer.ila kaaambiwa aulizie procedures. Sasa hajui hata hiyo njia maana yake nini ebu msaadieni.
Wakuu kuna mshikaji wangu mmoja ndug yake yuko nje sasa kuna vitu anataka amatumie lakini kwa njia ya Diplomatic shipment transfer.ila kaaambiwa aulizie procedures. Sasa hajui hata hiyo njia maana yake nini ebu msaadieni.