Diplomasia ya Uchumi Inayotatibiwa na Rais Samia Yawatia Hofu Wakenya. Waanza Kuweweseka

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,115
49,838
Wakenya bwana wameanza kuona wivu,kijicho ,kuingiwa hofu na kiwewe Kufuatia diplomasia mahiri anayofanya Rais Samia Kwa Kushirikiana na World Economic giants USA,China na India.

Wakiwa na wivu kwa kile anachofanya Samia wamemtaka Rais wao huyo alimaarufu kama Nabii ambae rating yake imeshuka sana Kwa kuwhindwa kutimiza ahadi zake kuiga mbinu na ikibidi kupata shule Kwa Rais Samia.

View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1713190933385146831?t=JX89wyfXdQBoILgGu5qviw&s=19

My Take
Nabii hakubaliki nyumbani ,ndivyo unavyoweza sema ila Kwa wenye akili ndio wataelewa kazi kubwa anayofanya Rais Samia kiasi Cha kulinganisha na baba wa Taifa kwenye nyanja ya diplomasia japo Samia ameenda mbali zaidi Kwa kufanya diplomasia ya Uchumi na mahusiano ya kimkakati(Strategic Partnership).

Mungu mbariki Rais Samia,Mungu ibariki Tanzania.

View: https://twitter.com/TanzaniainIndia/status/1713536981991662007?t=lBhVKSWW0mFUuRLiPhBhlw&s=19

View: https://twitter.com/TanzaniainIndia/status/1713539784801649025?t=ALwXo_Gx0F5c1SsHWhE8vA&s=19
 
Amepartner na nani na hiyo partnership ineleta faida gani nchini?

Mlikua mnampamba hivi royo tua, royo gua imeleta watalii, sijui ujinga gani, juzi yeye mwenyewe akakiri kwamba royo tua haijafanya chochote.

Naomba kujua hiyo strategic partnership alioianzisha Samia ambayo inalingana na ya Nyerere na faida zake.

Ahsante sana.
 
Wakenya bwana wameanza kuona wivu,kijicho ,kuingiwa hofu na kiwewe Kufuatia diplomasia mahiri anayofanya Rais Samia Kwa Kushirikiana na World Economic giants USA,China na India.

Wakiwa na wivu kwa kile anachofanya Samia wamemtaka Rais wao huyo alimaarufu kama Nabii ambae rating yake imeshuka sana Kwa kuwhindwa kutimiza ahadi zake kuiga mbinu na ikibidi kupata shule Kwa Rais Samia.

View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1713190933385146831?t=JX89wyfXdQBoILgGu5qviw&s=19

My Take
Nabii hakubaliki nyumbani ,ndivyo unavyoweza sema ila Kwa wenye akili ndio wataelewa kazi kubwa anayofanya Rais Samia kiasi Cha kulinganisha na baba wa Taifa kwenye nyanja ya diplomasia japo Samia ameenda mbali zaidi Kwa kufanya diplomasia ya Uchumi na mahusiano ya kimkakati(Strategic Partnership).

Mungu mbariki Rais Samia,Mungu ibariki Tanzania.

diplomasia yenye faida gani? unachukua bilioni moja au mbili, unaenda kuitumbulia kwenye nchi ya wenzako, unarudi mikono mitupu na miahadi kibao ambayo haitatimizwa. na unasema umeleta faida? kuna mtu haijui Tanzania? wanachotakiwa kufanya ni kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji, infrastructure, judiciary na kutangaza utalii kwa njia rahisi, wawekezaji wakiona wenyewe watakuja bila hata sisi kwenda kwao. ni nchi gani duniani imekuwa ikija Tanzania kujitangaza? au nchi gani za africa zinatumia pesa kwa ajili ya rais wake kwenda kujitangaza nchi za nje? KIZURI CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA. wakifanya haya wakichoka kuna siku watakuja kusema walitumia njia isiyo, wataomba radhi, wataandika kitabu, na imeisha hiyo. tunawapa watu nchi wajifunzie?
 
Naona Lucas mwashambwa kapata apprentice.

Heading na contents ni mwendo wa mipasho mipasho.

Hali ngumu sana CCM hadi kufikia kuokoteza okoteza makada kupaka rangi uongo
 
Serikali inapaswa kuwapa uwezo raia wake ili wakue kiuchumi na sio kutangatanga kutafuta watu huko nje.

Hata hao investors anaowatafuta wakija hapa serikali zao huwa zinawapa support.

Hapa nyumbani ndio kwanza raia wanakandamizwa.
 
Amepartner na nani na hiyo partnership ineleta faida gani nchini?

Mlikua mnampamba hivi royo tua, royo gua imeleta watalii, sijui ujinga gani, juzi yeye mwenyewe akakiri kwamba royo tua haijafanya chochote.

Naomba kujua hiyo strategic partnership alioianzisha Samia ambayo inalingana na ya Nyerere na faida zake.

Ahsante sana.
Kama hujui kusoma kizungu Hilo ni tatizo lako binafsi Baki hivyo hivyo na upumbavu wako.
 
diplomasia yenye faida gani? unachukua bilioni moja au mbili, unaenda kuitumbulia kwenye nchi ya wenzako, unarudi mikono mitupu na miahadi kibao ambayo haitatimizwa. na unasema umeleta faida? kuna mtu haijui Tanzania? wanachotakiwa kufanya ni kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji, infrastructure, judiciary na kutangaza utalii kwa njia rahisi, wawekezaji wakiona wenyewe watakuja bila hata sisi kwenda kwao. ni nchi gani duniani imekuwa ikija Tanzania kujitangaza? au nchi gani za africa zinatumia pesa kwa ajili ya rais wake kwenda kujitangaza nchi za nje? KIZURI CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA. wakifanya haya wakichoka kuna siku watakuja kusema walitumia njia isiyo, wataomba radhi, wataandika kitabu, na imeisha hiyo. tunawapa watu nchi wajifunzie?
Anafanya hivyo labda ni fala kama wewe ila Samia hajawahi fanya ziara ya hasara popote alipoenda ,got it?

Rais akajitangaze Nje ya Nchi au kutangaza Utalii?

View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1713266610918584466?t=2mnnI1_XnyqrhOIMJBsSKA&s=19
 
Serikali inapaswa kuwapa uwezo raia wake ili wakue kiuchumi na sio kutangatanga kutafuta watu huko nje.

Hata hao investors anaowatafuta wakija hapa serikali zao huwa zinawapa support.

Hapa nyumbani ndio kwanza raia wanakandamizwa.
Unadhani huo uwezo unagawiwa Ukiwa umekalisha bataksi zako? Utapata uwezo Kwa Kushirikiana na wenye uwezo ambao Serikali inawatafuta Ili waje kuwasaidia wajinga wajinga kama nyie.
 
Ccm haijaishiwa watu Hadi kuwa na watu wajinga Kama wewe unless niamini kwenye kokolo hukamata Hadi vyura 😂😂
CCM ina watu kama Chalamila, Nape, Kipara na wengine ambao ni National disgrace.

Mimi nimekulia CCM na ninajua misingi yake kabla hakijatekwa na majizi, mafisadi, wauaji na wajinga wajinga kama wewe.

Tunapingana humu humu hakuna kukimbiana
 
Hao ni Bora mara elfu kuliko wewe mnafiki
 
Wanaoteseka ni wale wanaomchukia Samia na walitaka afeli ila Sasa imekuwa kinyume chake.

Let them keep up their hates zinampa mtu Nguvu zaidi.
Watanzania niwatu ambao bongo zao Zina fikiria kurudi nyuma sio kwenda mbele mfano

Walimchukia nyelele kwa mfumo wa siasa za ujamaa baadae wakaja kumsifu nyelele huyo huyo kwa siasa za ujamaa baada ya mwinyi kusema ruksa wakasema Bora nyelele mwinyi anauza inchi

Mungu akawaskia Baada ya mwinyi kupita mda wake akaingia mkapa wakasema mkapa Hari ningumu Bora mzee ruksa pesa ilikuwa imetapa kaa japo alikuwa anauza inchi umeona?

Mungu hakuchoka kuwasikilriza akamleta kikwete pesa ikaingia mitaani Mishe zikapigwa watu wakajenga wakaoshea bia mpaka magari

chaajabu watanzania hao hao wakaja kusema kikwete hafai kuwa kiongozi Hana sifa za uongozi hafai anacheka cheka Sana, waisraam hawana uchungu nainchi mkapa alikuwa raisi Bora Sana asingekubari hili na lile

Mungu akawaskiliza akawa letea John pombe Joseph magufuri akawasha Moto wakaanza kumwita a.k.ays nyingi Mara jiwe,chuma,mjomba,dictator,muuwaji,katiri,nk

mungu akamchukua 😥😥akawa letea Samia mama mwenye kuongoza Kama mama ndani ya nyumba Cha ajabu leo hiii haohao watanzania leo wanasema jpm arikuwa raisi Bora kuwai kutokea duniani""😥😥😥

Sasa mkuu fanya Kama wewe ndiyo Samia je unawasaidiaje watu Kama Hawa?

Hawana tofauti na waisraeli walio pewa nyama za kwale jangwani na bado wakaikumbuka misri yenye mateso na Kila aina ya ushenzi

KWAHIYO SAMIA HAWAFAI KWA SASA RAKINI BAADA YA AJAYE WATAKUJA KUMTAJA KWAMBA YEYE NDIYE RAISI BORA NA MWANAMKE BORA KUWAI KUTOKEA DUNIANI NA WARA USIJE KUSHANGAA
 
Watajua wenyewe,kazi inaendelea
 
Back
Top Bottom