Diplomasia imevunjwa: Kuzuia RC Makonda kwenda U.S.A ni kosa la kidiplomasia. Walipaswa kufunga ubalozi wao kwanza. Tutarajie tamko la Rais au Kabudi

Hakuna njia ya Mkato..

Endelea kujifariji wakati ukweli ni Kwamba Mlilazimika kuafikiana na Mkulima kwa Sharti kwamba kilichoafikiwa kisiwekwe hadharani.


Ujinga mnaoushabikia ndio unawapa Kiburi watawala, acheni kushabikia ujinga wao waelezeni ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Pompeo ofisi yake iko wapi? Anaweza kuvamiwa na Bashite akiwa na kikosi maalum cha ulinzi cha rais. Pompeo hajui kuwa Bashite ni mtu mkubwa sana katika nchi hi?
 
Nchi wanachama wa umoja wa mataifa zinaendeshwa kwa misingi ya Diplomasia!
Kwenye uwakilishi wowote wa kimataifa; Rais anaweza kumtuma hata RC au DC kumuwakilisha kimataifa!

Hivyo Kumzuia mteule wa Rais kukanyaga marekani maana yake ni sawa na kumzuia Rais mwenyewe kukanyaga Marekani!

Walipaswa kufunga ubalozi wa marekani kwanza kabla ya kutoa tamko la kumzuia RC makonda!

Vinginevyo hii habari iwe imetengenezwa na chadema waishio marekani!

Balozi wa Marekani aitwe Ikulu ahojiwe! Ikiwezekana na ubalozi ufungwe rasmi.

Wamembipu Rais Magufuli, atawapigia siku ya kuwaapisha wateule wake Ikulu Jumatatu!

Alamsiki


Shida ni uelewa wako tu
 
tukimkataa then what next. !?? ule mkopo wa WB mnaoulilia mtaupata wapi!??


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ww ule mkopo ni wangu au wetu?
Kwani ule mkopo si ndio ambao hata chuo ukiomba unapewa.
Sasa tukinyimwa what next?
Do you think we are ready to sell our country Kwa Mabeberu kama ulivyo ww.
This is our home we haven't any other even ukaenda US you will still foreigner na Sera ikibadilika you will back no matter what

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapinzani wanavyotetea hao mabeberu, wanafikiri wao wanawekwa pembeni mambo yakiharibika, mambo yakiharibika ni kwa wote.

Nadhani umeona namna athari ya ujinga isivyobagua. DV Lottery wamefungiwa watanzania wote, hakuna aliyebaguliwa, yaani hata Zito au Fatma au mbowe , wote wamezuiliwa. Beberu hana rafiki zaidi ya kutunyonya.

Mjifanye kuwatetea na kuwapa taarifa za uongo, kumbe mnajiangamiza wenyewe. in the long run. Huko libya , Iraq na kwingineko, wanaumia wote, hakuna anayepona na ujambazi wa hao mabeberu. Ni wezi na wauwaji walio kubuhu.

Huyo Pompeo mwenyewe akiwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya marekani ndio aliyeleta balaa huko Iraq na kwingineko.
Kwa halii ilivyo sasa bora tukose wote, ili tuone hii kiburi ya awamu hii itaishia wapi?

Wakati tunataabika atatokea mwokozi toka Brussels kuja kusafisha nchi na kuondoa uchafu wa awamu hii
 
Ww ule mkopo ni wangu au wetu?
Kwani ule mkopo si ndio ambao hata chuo ukiomba unapewa.
Sasa tukinyimwa what next?
Do you think we are ready to sell our country Kwa Mabeberu kama ulivyo ww.
This is our home we haven't any other even ukaenda US you will still foreigner na Sera ikibadilika you will back no matter what

Sent using Jamii Forums mobile app
Jinga wewe, mbona mliuza nchi kitambo kwa mikataba ya kinyonyaji, ya madini na gesi,

juzi kati mmesaini tena mikataba mbovu na bariki wa kuiuza nchi kwa hao mabeberu
 
Back
Top Bottom