ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,557
- 44,747
Okay kukomaa ndio torati.. Naelewa ni marufuku kukata tamaa pia.Vzur kijana wangu komaa mquu
Okay kukomaa ndio torati.. Naelewa ni marufuku kukata tamaa pia.Vzur kijana wangu komaa mquu
Sahihisho kidogo angalia dsm inahitaji maji kiwango kidogo ya Dodoma.Ukweli utbaki kua ukwel.
edute na engineering,
Utapata jibu ukiwa peke yako na bahasha yako mkononi mwako iliyo contain cv yako.
Maoni, kwa tz eng ya maji ina soko kulko engineering zote mpaka dk hii, coz inauhtaji wa watalamu wa sector iyo sehemu kubwa.
Mfano, dodoma now inapata maji kiasi cha 40elfu m³ per day lkn kiasi kinacho itajika kukizi mahtaj ni makadirio ya laki 2m³ per day.
DSM inapata around m³ 82elfu za ujazo per day kwa ss na mahtaji ya watumiaji sio chini ya laki1.5 m³ kwa mtambo wa ruvu juu ambao unagawa maji kuanzia pwani na baadhi ya dsm.note "maji yapo inchini ila yanapotelea baharini kwa kukosa wataalamu"
Acha kujidanganya MBONA IPO WAZI ANGALIA SALARY SCALE ZA TZ NDO UONGEE UPUUZI WAKO UNAJISHUSHIA HESHIMA BUREESNani kakudanganya Diploma za uhandisi zinachukua D nne? Ww hujasikia mtu ana two au one haendi advance na anaenda technical college, Ualimu ni ualimu ni Ualimu tu ,Fundi tu alieajiliwa ngazi ya cheti unakuta ana mpoteza Mhitimu wa Baed ki salary
Kwani ukisoma BAED si unakuwa mwalimu kama walimu wengine tu au,?Acha kulinganisha BAED na vitu vya kijinga!
BAED ya DUCE sio ya nchi hii kijana, isikie ivyo tu
Unaongea nn ww wala chaki, sijui uhandisi wengi mnaishia mtaani mnapauka mnakuja kutusumbua mashule eti naomba kaz ya kufundshaWw acha kufananisha uhandisi na Wala vumbi la chaki kama unataka kuvaa smart tai ndefu,mchongoko na hela huna na unatembea wa mguu, nenda hio Baed, ila kama unataka kuvaa overall Huku upo kwenye gari yako wallet imevimba na ukitia mguu bar basi heshima nenda Wdmi
Kama mm mkuu Niko dit na one ya fourNani kakudanganya Diploma za uhandisi zinachukua D nne? Ww hujasikia mtu ana two au one haendi advance na anaenda technical college, Ualimu ni ualimu ni Ualimu tu ,Fundi tu alieajiliwa ngazi ya cheti unakuta ana mpoteza Mhitimu wa Baed ki salary
Ni maamzi tu Mkuu unapoona panakufaa pga DIT respect mquuKama mm mkuu Niko dit na one ya four
Maji yanapotea kwa kukosa wataalamu au kwa kukosa PESA?! Sekta zote nchini ziko hivyo ... Tusidanganyane fulani ni muhimu kuliko fulani..!Ukweli utbaki kua ukwel.
edute na engineering,
Utapata jibu ukiwa peke yako na bahasha yako mkononi mwako iliyo contain cv yako.
Maoni, kwa tz eng ya maji ina soko kulko engineering zote mpaka dk hii, coz inauhtaji wa watalamu wa sector iyo sehemu kubwa.
Mfano, dodoma now inapata maji kiasi cha 40elfu m³ per day lkn kiasi kinacho itajika kukizi mahtaj ni makadirio ya laki 2m³ per day.
DSM inapata around m³ 82elfu za ujazo per day kwa ss na mahtaji ya watumiaji sio chini ya laki1.5 m³ kwa mtambo wa ruvu juu ambao unagawa maji kuanzia pwani na baadhi ya dsm.note "maji yapo inchini ila yanapotelea baharini kwa kukosa wataalamu"
Atarii Mkuu Engineering ya WDMI ni mwamba kama ilivyo DIT na MUST kwa modules za kutosha na zimesimama na CA yake ujipange of course watu wanarudi om kila kukicha....kwenda WDMI jpangeeMUST moja dip ya electrical&electronics engineering 2011-2014, bachelor ya electrical&electronic engineering 2015-2018. Ukitaka kujua kina cha mto dumbukia sio kwa kuzamisha kidole. Siku hizi tokea aingie baba jesca mambo yako very complicated hata hizo diploma za engineering unazoziona ni nzuri kuzipata sio kizembe, moto wa ATC,DIT&MUST sio kinyonge ila kuhusu WDMI sijajua ugumu wake lakini nahisi ni sawa tu. Kama unataka usome course za engineering ningekushauri nenda DAR ES SALAAM MARITIME INSTITUTE (DMI) kasome diploma ya marine engineering huko kidogo wako fresh na unaweza ukatoboa. Ila kila kitu kina wezekana shida tu uwe na vigezo vya kudahiliwa.