Na diploma ya clinical officer bei gani?
Je kuna mkopo?
Inawezekana, ila awe na Degree ya Ualimu au Degree yoyote inayoDeal na Biology, Chemishy,Physics.Haliwezekani kabisa hili..ni lazima uwe na Diploma ya Clinical officer
Mkuu, kwa Diploma haiwezekani.Wadau msaada naomba kujuzwa kama ni kweli mtu akisoma diploma ya ualimu kwa masomo kama physics na mathematics au chemistry na bios anawez kwenda kupiga degree ya medical doctor . Natanguliza shukran zangu wakuu
Diploma ya Clinical Officer inategemeana na vyuo.Na diploma ya clinical officer bei gani?
Je kuna mkopo?
Soma mstari wa mwisho kwenye requirement hapo.Mkuu, kwa Diploma haiwezekani.
Ila ukiwa na Degree ya Ualimu ya hayo masomo ya Sayansi....unaweza kusoma MD. Ila pia uwe na GPA nzuri pia.
Nakuletea Screenshot ujionee aua nenda TCU GUIDEBOOK, tafuta ile ya Equivalent qualification utaona.
Pi hii system haijaanza leo, toka long time walimu wa science walikuwa wanaweza kusoma MD.
Okay mkuu..kumbe Bsc ya somo la sayansi inaweza kumpeleka mtu Md,i did't know that
Bachelor of science with education or in education. Na kuna bachelor of science in biology, or chemistry, or mathmatic, or physics. Sasa hao wa pili ndio wanaotakiwa na sio wa Bsc with education or in education mzee.