remedy50
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 675
- 289
System ya saiv hairuhusuina wezekana kwel kibongo kubadili kutoka dilpom ya medical to digri ya phrmcy
System ya saiv hairuhusuina wezekana kwel kibongo kubadili kutoka dilpom ya medical to digri ya phrmcy
Kama ni diploma unachukua basi chukua Lab kama unachukua degree chukua Pharmacy.ipi ni nzuri sasa hapo mkuu
Kama ni diploma unachukua basi chukua Lab kama unachukua degree chukua Pharmacy.
Ninakushauri kasome pharmac ht uraiani utapiga pesa tu kwny dispensar na OTC
Degree ya Pharmacy chet chake unaweza kuweka kwenye maduka ya dawa ya private na ukala hela. But kwa Lab hicho kitu walikuwa wanakipigania sijuwi kama imefanikiwa.ok kwann digri ya phrmcy na sio ya Lab
Degree ya Pharmacy chet chake unaweza kuweka kwenye maduka ya dawa ya private na ukala hela. But kwa Lab hicho kitu walikuwa wanakipigania sijuwi kama imefanikiwa.
Imefanikiwa ila pesa ni maelewano ila pharmacy wao baraza lao wameweka kiwango ambacho huwez kuweka cheti chini ya hicho kiwango, Ila taabu ni kupata hayo madukaDegree ya Pharmacy chet chake unaweza kuweka kwenye maduka ya dawa ya private na ukala hela. But kwa Lab hicho kitu walikuwa wanakipigania sijuwi kama imefanikiwa.
Chukua lab tena anzia Diploma u will never regret...
Fursa za kuajiriwa hasa private ni nje nje ila uwe competent, hata kujiajiri km mtaji unao fursa ni kubwa tu...Nimesema asa Diploma sababu kubwa ndio wanaajirika sana private simply because gharama ya kulipwa ni nafuu ukilinganisha na bachelor, ili hali Dip anauwezo wa kuperform majukum yote ambayo bachelor bachelor anaperform hasa kwa level na technology ya lab zetu nyingi both privste na public hapa bongo..kwann mkuu
Fursa za kuajiriwa hasa private ni nje nje ila uwe competent, hata kujiajiri km mtaji unao fursa ni kubwa tu...Nimesema asa Diploma sababu kubwa ndio wanaajirika sana private simply because gharama ya kulipwa ni nafuu ukilinganisha na bachelor, ili hali Dip anauwezo wa kuperform majukum yote ambayo bachelor bachelor anaperform hasa kwa level na technology ya lab zetu nyingi both privste na public hapa bongo..
Nme kulewa jamaaFursa za kuajiriwa hasa private ni nje nje ila uwe competent, hata kujiajiri km mtaji unao fursa ni kubwa tu...Nimesema asa Diploma sababu kubwa ndio wanaajirika sana private simply because gharama ya kulipwa ni nafuu ukilinganisha na bachelor, ili hali Dip anauwezo wa kuperform majukum yote ambayo bachelor bachelor anaperform hasa kwa level na technology ya lab zetu nyingi both privste na public hapa bongo..
Imefanikiwa ila pesa ni maelewano ila pharmacy wao baraza lao wameweka kiwango ambacho huwez kuweka cheti chini ya hicho kiwango, Ila taabu ni kupata hayo maduka