O Outlook028 New Member Joined Aug 27, 2019 Posts 1 Reaction score 0 Aug 28, 2019 #1 Habari! Naomba kufahamishwa kazi wanazofanya watu wanaosoma diploma hii (Health Information Sciences) . Na uwanja wa ajira uko vipi?
Habari! Naomba kufahamishwa kazi wanazofanya watu wanaosoma diploma hii (Health Information Sciences) . Na uwanja wa ajira uko vipi?
Future planner Member Joined Feb 27, 2019 Posts 36 Reaction score 6 Sep 6, 2019 #2 Ni kozi ya afya inayochukua miaka 3