ENANTIOMER
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 1,419
- 804
wakuchota kiasi kikubwa kwa miaka zaidi ya 10, alafu ww unasema yana mwisho? yaani watu wausubiri huo mwisho kwa zaidi ya miaka yote 10 ndio waanze kupata unafuu?Wasife moyo maana makato yanamwisho wake.
hapa naona mbinu mbadala za kutafuta pesa zitaanza kufikiriwa zaidi, na hili litaathiri huduma wanazosubiri wanyonge huko uraiani. mtu huwezi kusubiri zaidi ya miaaka 10 ndio uanze ujenzi wa buguru, huwezi kusubiri zaidi ya miaka 10 ndio uanze kula vizuri, huwezi kusubiri zaidi ya miaka 10 ndio uwe na maisha mazuri kama wao.
tushaambiwa na mheshimiwa mkuu kua, kila mtu atabeba mzigo wake. sasa hata wale wanafunzi wa shule zile, wababe misalaba yao pia. mwalimu wao mwenye hali ngumu niko bize ktafuta pesa za kufidia, ili nisibaki nyuma kwa kila kitu.