Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,863
- 6,604
Sorry tofaut ya mshahara iliyopo kat ya degree & diploma za afya ni ipi?
MD
Pharmacy
Medical lab
Nursing
Diploma zote basic salary ni 680,000
Hizo degree kwa mfuatano huo huo basic zao ni
1,480,000
1,215,000
980,000
980,000
Hii Tanzania yetu ukitegemea hii mishahara utasubiri sana kufikia maisha ya ndoto zako