Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,622
- 4,138
WAKUU,
MSHAHARA UNAOBAKIA BAADA YA MAKATO YOTE KWA MWALIMU ANAYEANZA NA DIPLOMA
NI
TSH. 418,700/=.
WAKATI BAADA YA 'UFYONDHAJI' WA HII ASILIMIA YETU MPYA HII 15% NA MAKATO MENGINE KWA BABU ZANGU WALIMU WENYE DIGRII WANABAKIWA
NA
TSH. 450,420/=.
----------------
KWA WANAHESABU TULIOKOMAA KWENYE ZILE HESABU ZETU ZA MAGAZIJUTO ZILE
TUKIKOKOTOA KUTAFUTA GEPU LA MSHAHARA LILILOPO KATI YA DIGRII NA DIPLOMA (ZA UALIMU),
TUNAFANYA HIVI
450,420 - 418,700 = 31,720/= TZS.
--------------
HII NDIO RAHA YA KUSOMA MAGAZIJUTO,
HUHITAJI KALKULEITA KUKOKOTOA.
>>Nahisi hata nyodo na misifa ya walimu wa digrii dhidi ya wa diploma wawapo staff kule pande za MBINGA, KALIUA, NANYUMBU, MPANDA, KIBONDO, SAME, MBULU na KWINGINEKO zitaisha tu mwaka huu!!!
Eeeeeeeeeeeeh!!!<<
I SEE,
MTWARA TUNASEMA
"Hii Ngoma Nagwah!"
ILA SERIKALI YETU SIKIVU INGEWAFIKIRIA KIDOGO WATUMISHI WAKE!
DAAAAAAAAAAAAAAAAH!!!!
_____
Nimeipost nikiwa njiani kuelekea Mtwaaaaraaaaaa kwa Sangoma wangu
Awafanye mambo ili jina langu lisionekane kwenye orodha ya wadaiwa!
//PANDE ZA MTWIZ.//