Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,843
Hahahhahaha...Naona naona Mzee...Mzee baba..Stress za kanji mbaya sanaa![]()





Hahahhahaha...Naona naona Mzee...Mzee baba..Stress za kanji mbaya sanaa![]()





SawaUna umri gani?
Unapenda kubishana bila kupokea taarifa rasmi za operation ya unachokizungumzia kwa kujawa na dhahania kuliko current information with facts.
Nimekupa taarifa ya kinachojiri yatosha kushukuru achana na miaka mia ijayo kwani unashiriki japo kiduchu kwenye kutunga na kuratibu Sera za afya? Unaijuwa scope ya afya kwa sasa? Vision?
Pata taarifa sahihi acha mihemko ya dhahania!