mkuu umekurupuka kama una ushauri kaa kimya,maana hujui alicho nacho mtu,ndo mana sikuzungumzia kuajiriwa, nimezungumzia kujiajiri,ulipaswa kutoa ushauri ulio nao sio kuzodoa,unafeli wapi msomi mwenzangu!?Wewe Nurse Unajiajiri Una Hospital au dispensary??? Hata Famasi yenyewe au duka la dawa bado unahitaji mtaji mzee baba.. Kozi za afya kujiajiri sio mtaji wa laki 2
mkuu umekurupuka kama una ushauri kaa kimya,maana hujui alicho nacho mtu,ndo mana sikuzungumzia kuajiriwa, nimezungumzia kujiajiri,ulipaswa kutoa ushauri ulio nao sio kuzodoa,unafeli wapi msomi mwenzangu!?



Soma kwanza kijana...!! Acha kuota kwanza... Ukipata hicho kidiploma ndo uje na story zako za abunuasi hapa. Nkajua unasema degree at lst...

diploma afya labda ujiajiri kuuza mananasi..


Heshima yako mkuu kwanza ulipata chuo cha government?sawa boss uko sawa
asante sana mkuu,wewe ndio umekuja na jibu sahihi la swali langu,heshima sanaKwa sasa anaetakiwa kuuza dawa ni mtu aliyesomea kada ya famasi kuanzia basic technician certificate in pharmacy na kuendelea. Zamani manesi walikua wanaruhusiwa kuuza dawa lakini kwa sasa hawaruhusiwi maana kada ya famasi imejitosheleza. Mtu yeyote anaweza kumiliki duka la dawa ila kuuza ni mtu aliyesomea famasi
hapana nakwenda private mkuu
Ahhahhaha...we mzeeSoma kwanza kijana...!! Acha kuota kwanza... Ukipata hicho kidiploma ndo uje na story zako za abunuasi hapa. Nkajua unasema degree at lst...
diploma afya labda ujiajiri kuuza mananasi..
![]()



Daah!Sio kweli,Kwa sasa anaetakiwa kuuza dawa ni mtu aliyesomea kada ya famasi kuanzia basic technician certificate in pharmacy na kuendelea. Zamani manesi walikua wanaruhusiwa kuuza dawa lakini kwa sasa hawaruhusiwi maana kada ya famasi imejitosheleza. Mtu yeyote anaweza kumiliki duka la dawa ila kuuza ni mtu aliyesomea famasi
Nadhani nursing maana unaweza kufany hata vijikibarua vya kuwatoa wadada ujauzito
Nenda kasome PHARMACY, na usiishie diploma komaa mpaka degree!!ninataka kusoma moja kati ya hizi ila naombeni kujua ipi ni nzuri kujiajiri na rahisi kuliko nyingine,na je Nurse anaweza akajiajiri katika ajira ya umiliki na uuzaji wa duka la dawa za binadamu? naomba kuwasilisha.
Lengo la ADDO ilikua ni kuongeza upatikanaji wa dawa vijijini na sehemu za mijini ambazo kupata huduma ya hiyo ilikua shida. Hiyo program ilifanikiwa sana. Lakini baadae wakaona bado haitoshi kwa mtu kusoma miezi 4 ndio akawe mtoa huduma ndio ikaanzishwa kozi ya mwaka mmoja ikiitwa medicine dispensing na chuo cha kwanza kilikua St John's university of Tanzania chini ya yuleyule aliyeanzisha hiyo ADDO program, Dr Mbwasi. Hii nadhani ilikua mwaka 2016.Sio kweli,
Kuna kozi za ADDO hutolewa na baraza la famasi Tanzania kwa wauzaji wa maduka ya dawa na sifa ni MTU aliesomea nursing, clinical medicine, community health, kozi hii ni ya majuma sita baada ya kufanyiwa usaili unaosimamiwa na baraza la famasi Tanzania, lakini pia baraza linatoa kozi ya Juma moja kwa wamiliki wa maduka ya madawa, kisheria huwezi fungua duka la dawa iwapo huna certificate ya umiliki kutoka baraza la famasi.
Kwa aliesoma certificate, iwe basic certificate in pharmaceutical science( dispensing) ya mwaka mmoja au certificate ya miaka miwili au diploma in pharmaceutical science hawa wako exlusive kusomea hiyo kozi ya ADDO ( ACCREDITED DRUG DISPENSERS OUTLETS).
Aidha mleta mada, ikiwa lengo lako ni wepesi wa kujiajiri kutokana na fani yako, basi somea ufamasia kuliko uuguzi kwani conditions plus mtaji anzia kwa kuanzisha duka la dawa muhimu kwanza kisha uje na pharmacy ni mdogo kuliko nesi au daktari aanzishe hospital au dispensary and the like japo kwenye afya kuna business nyingi sana ila zilizowazi ndio hizi.
Asante na karibu kwenye taaluma.
Training zinaendelea Mimi ni mmoja wa waratibu wa hizo training na hapa najiandaa na next training ambayo ilikuwa ifanyike tarehe 3 September lakini baraza limeghairisha kwa sababu Fulani hivyo kozi itafanyika October kwa ukanda Fulani japo kuna kanda imefanyika July to August 2019.Lengo la ADDO ilikua ni kuongeza upatikanaji wa dawa vijijini na sehemu za mijini ambazo kupata huduma ya hiyo ilikua shida. Hiyo program ilifanikiwa sana. Lakini baadae wakaona bado haitoshi kwa mtu kusoma miezi 4 ndio akawe mtoa huduma ndio ikaanzishwa kozi ya mwaka mmoja ikiitwa medicine dispensing na chuo cha kwanza kilikua St John's university of Tanzania chini ya yuleyule aliyeanzisha hiyo ADDO program, Dr Mbwasi. Hii nadhani ilikua mwaka 2016.
Kwa sasa hiyo medicine dispensing imebadilishwa na kuitwa basic technician certificate in pharmaceutical Science ambayo inaendeshwa kwa semester 2. Vyuo vingi vinatoa hii kozi kwa sasa . Scope ya hii kozi ni kufanya kazi za kudispense dawa ambayo ni similar na ile ya ADDO training. Sasa niambie kama bado hiyo training ya miezi 4 inahitajika tena wakati tayari tuna wataalamu wa semester 2 sokoni ambao wanafanya kazi ileile.
Sidhani kama hiyo training ya miezi 4 bado ipo, unaweza niambia mara ya mwisho kutolewa ni lini?. Let's assume ipo je unafikiri mpaka huyu kijana anamaliza itakua bado inahitajika?.
Kwa nchi masikini kama Tanzania kuna program zinaanzishwa kwa sababu tu tuna uhaba wa wataalamu na siku wakipatikana zinafutwa. ADDOs zitakuwepo kwa muda mrefu ujao lakini training ya miezi 4 ili kuuza dawa kwenye ADDO shops haina future
OK! Vizuri, je unadhani miaka 10 ijayo tutakua na uhitaji wa hiyo kozi?Training zinaendelea Mimi ni mmoja wa waratibu wa hizo training na hapa najiandaa na next training ambayo ilikuwa ifanyike tarehe 3 September lakini baraza limeghairisha kwa sababu Fulani hivyo kozi itafanyika October kwa ukanda Fulani japo kuna kanda imefanyika July to August 2019.
Asante
Una umri gani?OK! Vizuri, je unadhani miaka 10 ijayo tutakua na uhitaji wa hiyo kozi?