ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,368
- 50,737
Wanajukwaa.course tajwa hapo juu nimeiona ikitolewa katika chuo cha Maji kile klichopo ubungo.naomba kujuzwa kuhusu HII field.je wanafanya kazi zipi,wapi..Na pia Ajira zao zipoje.uhaba wa wataalamu huo upoje.anayejua au Mwenye idea ya HII.