M Mipale Steve JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 384 Reaction score 43 Jun 24, 2013 #21 Erick tryphone said: Unajua nini kuna baadhi ya watu wanadai kwamba hauwezi kusoma diploma kama hauja fanya mtihani wa f 6 kwahiyo nahitaji ufafanuzi zaidi juu ya hili tena ikibidi 2pia hata link Click to expand... ndio mana nikakwambia kuwa kuna diploma za aina mbili ipo unayoweza kujiunga kama ukiwa na cheti na nyingne mpaka ufanye paper ya f6.
Erick tryphone said: Unajua nini kuna baadhi ya watu wanadai kwamba hauwezi kusoma diploma kama hauja fanya mtihani wa f 6 kwahiyo nahitaji ufafanuzi zaidi juu ya hili tena ikibidi 2pia hata link Click to expand... ndio mana nikakwambia kuwa kuna diploma za aina mbili ipo unayoweza kujiunga kama ukiwa na cheti na nyingne mpaka ufanye paper ya f6.
Isaack Newton JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 619 Reaction score 371 Jun 24, 2013 Thread starter #22 KOKUTONA said: Open University wanatoa diploma ya ualimu? Nauliza tu! Click to expand... ndio mkuu wanatoa maana mwalimu wangu alikuwa anasoma open university huku anafanya kazi!
KOKUTONA said: Open University wanatoa diploma ya ualimu? Nauliza tu! Click to expand... ndio mkuu wanatoa maana mwalimu wangu alikuwa anasoma open university huku anafanya kazi!
Isaack Newton JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 619 Reaction score 371 Jun 24, 2013 Thread starter #23 Mipale Steve said: ili upewe ruhusa ya kusoma ndo unatakiwa ukae miaka miwli kazin lakini kama hutaki kufanya kazi unaweza kuunganisha hapo hapo ukasoma dip Click to expand... kumbe ni uamuzi wa mtu kama anataka kuendelea na kazi au kusoma diploma na wala sio lazima ufanye kazi?
Mipale Steve said: ili upewe ruhusa ya kusoma ndo unatakiwa ukae miaka miwli kazin lakini kama hutaki kufanya kazi unaweza kuunganisha hapo hapo ukasoma dip Click to expand... kumbe ni uamuzi wa mtu kama anataka kuendelea na kazi au kusoma diploma na wala sio lazima ufanye kazi?
mhalisi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,181 Reaction score 322 Jun 24, 2013 #24 Isaack Newton said: Nimekuelewa mkuu,,,,,,,,,,,! kabla hauja log out mkuu, naomba unipe ufafanuzi wa grade za ualimu sijui kuna grade A-B n.k. maana sifahamu vizuri! Click to expand... sifahamu grade za ualimu mkuu. wadau wengine wanaweza wakakusaidia kuzijua.
Isaack Newton said: Nimekuelewa mkuu,,,,,,,,,,,! kabla hauja log out mkuu, naomba unipe ufafanuzi wa grade za ualimu sijui kuna grade A-B n.k. maana sifahamu vizuri! Click to expand... sifahamu grade za ualimu mkuu. wadau wengine wanaweza wakakusaidia kuzijua.
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 Jun 24, 2013 #25 Mipale Steve said: sio diploma tu wanatoa hadi certificate ya education Click to expand... Ahaaaa....ahsante kwa kunijuza.
Mipale Steve said: sio diploma tu wanatoa hadi certificate ya education Click to expand... Ahaaaa....ahsante kwa kunijuza.