Dah ni wote asee coz mpka nw sijasikia aliyetoka diploma kapata mkopo hata chuoni kwetu ni form six tu ndo wamepata coz me mwenyew ni orphan bt ndo ivo hamna kituJe kuna diploma holders ambao wamekwisha pata mkopo?,maana hali huku siyo shwari majina chuoni yametoka ila langu na ya wenzangu watano niliyotokanao diploma hayapo na programmes tulizopata wote ni priority vile vile mimi nipo kwenye kundi lile la wanafunzi ambao ni single parent,sasa nataka kufahamu ni kwetu tu au ni diploma holders wote?
hiyo kazi tuitoa wapi??Tatizo lenu ni moja mna haraka sn na maisha,, umeshapata dip mfno ya clinical mdcn, tulia piga kaz miaka 3 baada ya hapo unaenda kusoma hutokua na presha na wala hutohitaj mkopo! bt nyie mwk huu unamaliza,, mwk huo huo untk usome degree, sa diploma ulisoma ya nn? au mnalitumia kama daraja baada ya kufeli? achen haraka haraka na maisha.
We si ulikuwa na uwezo wa kulipia diploma.... why not degree....huh?mimi nashindwa kuelewa kwamba inakuaje waliotoka form six wakapewa mkopo ila waliotoka diploma wasipate wakati kozi mnayoenda kuisoma ni hiyo hiyo wote kwapamoja
Ndg mi nadhani hicho c kilio chako pekee ni cha diploma holder wote hapa tz walioapply loan this year. Maana kila chuo utaona diploma holder hajapata hata kama atakuwepo kwenye kundi ambalo lingemfanya apate loan.Je kuna diploma holders ambao wamekwisha pata mkopo?,maana hali huku siyo shwari majina chuoni yametoka ila langu na ya wenzangu watano niliyotokanao diploma hayapo na programmes tulizopata wote ni priority vile vile mimi nipo kwenye kundi lile la wanafunzi ambao ni single parent,sasa nataka kufahamu ni kwetu tu au ni diploma holders wote?
polen sana endeleeni kusubili tuWdmi
Atc
Must
Wote diploma holders hatujapata
We si ulikuwa na uwezo wa kulipia diploma.... why not degree....huh?
We si ulikuwa na uwezo wa kulipia diploma.... why not degree....huh?
mkuu diploma ada sio sawa na degree pia kuhus swala la malazi inatakiwa utafute pakukaa coz huluhusiwi kukaa hoster za chuoWe si ulikuwa na uwezo wa kulipia diploma.... why not degree....huh?
Hizo ajira utatoa wewe?Tatizo lenu ni moja mna haraka sn na maisha,, umeshapata dip mfno ya clinical mdcn, tulia piga kaz miaka 3 baada ya hapo unaenda kusoma hutokua na presha na wala hutohitaj mkopo! bt nyie mwk huu unamaliza,, mwk huo huo untk usome degree, sa diploma ulisoma ya nn? au mnalitumia kama daraja baada ya kufeli? achen haraka haraka na maisha.
Hizo ajira utatoa wewe?
Tumia akili wewe si kuropoka tu hovyo!
Sasa mimi nimehitimu serikali imesisitisha ajira hapa nafanya nini?
Ndiyo wapumbavu wengine husema vijana mjiajiri wao wapo serikalini umri wa kustaafu hawataki kuachia ngazi.