JustineKitenge2016
Member
- Jul 17, 2016
- 46
- 62
true dat broo sema watu wengi hawalijui hilo kkNafikiri Diploma iwe mwanzo wa kusoma Degree,baada ya hapo hapo masters.Kuna watu wana PhD na walianzia Diploma.
KWANINI ULICHAGUA CCM NEXT TIME JIFUNZEHabari za sa hivi wana jamvi, najua au nafahamu wapo watu wwngi ambao wameshaongea sana kuhusu diploma holders hakuna mapya mimi leo hii nataka niongezee tu, kama mnavofahamu sio watu wote tulipenda kusoma diploma sema upepo ulivyobadilika ndo tukaangalia altenative, ni ukweli usio pingika watanzania walio wengi wanaizarau sana elimu ya diploma sijui sababu ni nini hususani hizi diploma za kawaida ukiachilia hizi za udaktari au mambo yahusiyo afya, kwa upande mimi nilishajiandaa kwa majibu yoyote watu tunasoma kwa bidii lakini mpaka sa hivi nyumbani wananiona muongo yaani mpaka inafikia kipindi ninamkwepa baba kwasababu ya maswali kuhusu hili jambo, mpaka sasa hivi hakuna tamko lolote, wala hata tangazo lolote, je wakulaumiwa ni nani
Bora wewe umesoma Diploma kiuharari je wale walionunua vyeti vya form four na form six wapo wanajisaidia ovyo ovyo sasa hivi kwaajili ya Prof.Ndalichako.Habari za sa hivi wana jamvi, najua au nafahamu wapo watu wwngi ambao wameshaongea sana kuhusu diploma holders hakuna mapya mimi leo hii nataka niongezee tu, kama mnavofahamu sio watu wote tulipenda kusoma diploma sema upepo ulivyobadilika ndo tukaangalia altenative, ni ukweli usio pingika watanzania walio wengi wanaizarau sana elimu ya diploma sijui sababu ni nini hususani hizi diploma za kawaida ukiachilia hizi za udaktari au mambo yahusiyo afya, kwa upande mimi nilishajiandaa kwa majibu yoyote watu tunasoma kwa bidii lakini mpaka sa hivi nyumbani wananiona muongo yaani mpaka inafikia kipindi ninamkwepa baba kwasababu ya maswali kuhusu hili jambo, mpaka sasa hivi hakuna tamko lolote, wala hata tangazo lolote, je wakulaumiwa ni nani
Kiuharari= kiuhalaliBora wewe umesoma Diploma kiuharari je wale walionunua vyeti vya form four na form six wapo wanajisaidia ovyo ovyo sasa hivi kwaajili ya Prof.Ndalichako.
Kiuharari= kiuhalali
Lakini si umeelewa?Kiuharari= kiuhalali
Ndio lakini nafikiri hutorudia tenaLakini si umeelewa?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji135]Ndio lakini nafikiri hutorudia tena
Kaka wazazi wengine sisi hawajasoma sa kama mtu kila siku swali ni lile lile unafanyaje asee na majibu hunaBaba yako unamkwepa wa nini? kwani na yeye si anafuatilia hizi taarifa kila mahali. Mwambie kama vipi awaulize NACTE wewe huna haja ya kumkwepa maana hili suala liko nje ya uwezo wako
KWANINI ULICHAGUA CCM NEXT TIME JIFUNZE