hahahaha leo nmecheka sana nmemuona jamaa mmoja kwenye taarifa ya habar analalamika kuhusu mikopo huku ametupia suti kali analilia mkopa halaf mmi namfaham jamaa alipiga sana pesa za umoja wa wanafunzi kwenye serikali ya wanafunzi kipindi yupo diploma,,,,, dahh kweli hiz pesa za bodi znachizisha watu
Mkopo naona hatupati kwa watu wa diploma,maana cjaona waliopata
dah mdau mbona unachochangia na ktu klichoulzwa n tofaut axeee!!
hapan wang si kweli wametupa weng tu ila nadhan tuwe na subra kwa lot ya tatu watakayo toa
Naona bila kuwa na mtu uko upati.. watu wa business wanapata asilimia 100.. wakati science hakuna hata moja wakuzugia.
mbona Bodi ya mikopo waliainisha wazi kuwa kama uko kwenye ajira usiombe mkopo, na wengi muliopitia Diploma tayari mko kwenye ajira ama rasmi au isiyo rasmi. sasa mnataka mkopo wa nini badala ya kutumia mishahara yenu kujilipia ili hii pesa ndogo iliyopo itumike kuwasaidia watoto maskini na yatima?