thomaskitomari
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 472
- 204
Hiv wakuu si kuna uwezekano kabisa sisi diploma tulioapply mwanzon na gpa ya 3.5 na kuendelea kurudia ku apply tena?
Mbona Mi Nmechaguliwa Nilikuwa Na GPA Ya 3.6 Nahisi Km Uko Below 3.5 Huwezi Chaguliwa
Hakuna diploma aliyekuwa selected mkuu, ukicheki profile ziko kama tulivyozijaza nothing newJaman aliona kachaguliwa si aseme diploma to degree
Mbona Mi Nmechaguliwa Nilikuwa Na GPA Ya 3.6 Nahisi Km Uko Below 3.5 Huwezi Chaguliwa
Mkuu acha kututia ndimu bhana watu wana gpa ya 4.5 hawajachaguliwa sembuse wew wa 3.6?!!. tuendelee kuwapa muda nacte labda lipo linalowasubirisha.Mbona Mi Nmechaguliwa Nilikuwa Na GPA Ya 3.6 Nahisi Km Uko Below 3.5 Huwezi Chaguliwa
lower second inaanzia 2.8 labda kuwe na mabadilikoMbona Mi Nmechaguliwa Nilikuwa Na GPA Ya 3.6 Nahisi Km Uko Below 3.5 Huwezi Chaguliwa
Lower inaanzia 2.7 ndugu labda kama wamebadilishalower second inaanzia 2.8 labda kuwe na mabadiliko
Kesho ndio selection zote zinatoka wasiwababaishe wale wa form six na Diploma wote matokeo kesho.Acha uongo watu wana GPA za 4.6 na bado hawajachaguliwa seuze wewe ....!
2.7 siyo pass?Lower inaanzia 2.7 ndugu labda kama wamebadilisha
Kila siku kesho lol.....Kesho ndio selection zote zinatoka wasiwababaishe wale wa form six na Diploma wote matokeo kesho.
pass ni 2.0mpaka 2.6 ndio maana vigezo vya tcu kabla ya 3.5 au mwaka jana minimum kwa diploma ilikuwa gpa ya 2.7 kafatilie guide book miaka ya nyuma2.7 siyo pass?
Mbona Mi Nmechaguliwa Nilikuwa Na GPA Ya 3.6 Nahisi Km Uko Below 3.5 Huwezi Chaguliwa
Daaa itakuwa kujiajiri tuHii nchi kwa kweli viongozi hawatendi haki maana ya jupunguza GPA 3. 5 TO 3. 0 INAMAANA GANI WALE WA 2. 7 , 2. 8, 2. 9 WAFANYE NINI NA NI ZITE NI LOWER SECOND