Hivi Computer science kwa mtu mwenye dv 3 ya 22 ila ana F ya Maths na Phy anaweza soma?Aende diploma advance ni ujinga sana grade zinabadilishwa kila siku na pia science kwa advance ni ngumu sana..naongelea experience na sitowahi tena kumshauri mtu aende advance maishani kwangu
Inategemeana na chuo husika kama inaruhusu kusoma ICT bila kuwa na Pass in math and physics. Ila kama chuo kinaluhusu anasoma sema number itamsumbua sana mana semester ya 1 mpaka ya 6 module ya advanced math, business math and other kind of math unasoma. Also you must have science foundation for a little concept in physics like electronics physics.Hivi mtu aliyesoma arts advance anaweza kusoma diploma ya ICT?!?
Ukitoa Fan ya AfyaInategemeana na chuo husika kama inaruhusu kusoma ICT bila kuwa na Pass in math and physics. Ila kama chuo kinaluhusu anasoma sema number itamsumbua sana mana semester ya 1 mpaka ya 6 module ya advanced math, business math and other kind of math unasoma. Also you must have science foundation for a little concept in physics like electronics physics.
Ukiachana na afya kwa sasa serikali inawekeza sana kwenye water, industries, gas and oil. Ni Vema akasoma course inayoendana na hizo sector kwa maisha ya badaeUkitoa Fan ya Afya
Koz ipi ni nzuri zaidi yenye manufaa baadae kwa mwanafunzu huyu mwenye dv 3 ya 22??
Sector hizo nahc zitambana coz ana F ya Maths na PhyUkiachana na afya kwa sasa serikali inawekeza sana kwenye water, industries, gas and oil. Ni Vema akasoma course inayoendana na hizo sector kwa maisha ya badae
Mkuu najua ulikuwa unamjibu #2, mimi unachoweza kunisaidia ni kama hizi maths za semester 1-6 ni matayarisho tosha kwa yule anaetaka kwenda degree ikiwa atatimiza vigezo vingine (e.g. GPA3)?Inategemeana na chuo husika kama inaruhusu kusoma ICT bila kuwa na Pass in math and physics. Ila kama chuo kinaluhusu anasoma sema number itamsumbua sana mana semester ya 1 mpaka ya 6 module ya advanced math, business math and other kind of math unasoma. Also you must have science foundation for a little concept in physics like electronics physics.
Pass mark ni utaratibu wa chuo husika. So kama ana interest ya kusomea sector hizo ni Vema a wasiliane na chuo husika then watamwambia kama inawezekana au la!Sector hizo nahc zitambana coz ana F ya Maths na Phy
Au zipo zenye kumfaa??
Ok ThanxPass mark ni utaratibu wa chuo husika. So kama ana interest ya kusomea sector hizo ni Vema a wasiliane na chuo husika then watamwambia kama inawezekana au la!
Sometime huwa wanachukua