Dinner in the sky in Brussels, Belgium

Mi nimewahigi kuona katika Big brother ......

mnakuwa mmefungwa kwa uzuri sana.its hard ku fall down!!!!!!
 
Watu wazima walio wazima?
Ha ha ha umenichekesha sana...ofcoz za wagonjwa(wasoweza kujizuia haja kubwa au ndogo) lakini watu wazima walo wazima pia wanaweza kutumia incase of emergence kama hio!!
 
Morning...mh uende msalani kabla hujapanda kwenye hio kitu...


Mmh...unaweza kuwa umejiandaa barabara, lakini hofu kitu kingine! Huwa inakuja na mahitaji yake mapya....
 
Niliona kwenye kipindi maarufu cha Chef Abroad hata kwa Madiba imewahi fanyika walitumia crane kubwa kubeba hicho chetezo pamoja na watu,msosi ukiwa nyama ya mamba,ambayo ni nyama wanayokula wenye njuruku tu huko kwa Madiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…