Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Dini siyo mbaya sana maana huchangia kustaarabiana kati ya mtu na mtu na kuchukuliana mizigo ya kimaisha,tatizo linakuja tu pale watu wanapokua na matatizo binafsi yaliyo wachanganya vichwani wanajikuta wanaingiziwa na mahubili ya kitapeli na wao wanayabeba na kutembea nayo,mengine ni mahubili ya kimapepo nayo yanawakumba na kutembea nayo kiasi wanakua kama wajinga fulani hivi lakini ukweli dini si kitu kibayaDini hupumbaza watu zaiki kuliko kitu chochote. Dini haihimizi watu kufikiri, inawataka kila gumu wanalokutana nalo wasome vitabu majibu yao yamo humo, kwamba dini inafikiria kwa niamba yako, wewe akili uliyonayo ni kwa ajili ya kuvukia barabara tu.
Ndio maana unaweza kushangaa mtu anaua wenzake kwa mgongo wa dini, ni kwa sbabu dini imempumbaza na kumwambia ukiua ni baraka.
Sasa jana kaja dada yangu hapa kwangu, amekuja kufuatilia mambo yake binafsi kutoka mkoa mwingine. Amefika na mizingo(mabegi mengi), nikashangaa kidogo maana anasema atakaa siku 3 au 4 arudi kwake. Mojawapo ya hiyo mizigo ni begi moja kubwa lenye masananu ya watakatifu. Begi limejaa masananu. Usiku kabla ya kulala akayatoa sebuleni kwa ajili ya kuomba labla ya kulala, mara mtakatifu wa mambo magumu yaliyoshindikana, mara sijui mtakatifu wako binafsi, mtakatifu gani sijui.
Mimi ili kutomkwaza sister nikakaa sebuleni aombe tukalale, baada ya kumaliza kuomba akaanza kunihubiria, kuniambia niende kanisani nikaambiwe mtakatifu wangu binafsi wa kua ananiombea personally, sijui na mambo gani mengi. Sikutaka kumchallenge maana najua angekwazika sana alafu she is a little learned person. Basi kayaacha hayo masananu yake sebuleni.
Hakika dini ni ugonjwa mbaya sana, unapumbaza watu, dini ni ugonjwa unaoshambulia akili, kuidumaza, ni ugonjwa hatari kuliko hata saratani.
Hivi kumbe hapa Duniani kila mtu ana mtakatifu wake personally anaemsikiliza?
Wewe jamaa ubarikiwe na comment yakoShida ni jinsi watu wanavyoitafsiri dini, ila ni kitu muhimu zaidi kwa binadamu maana dini huleta Amani, kukataza maovu na ndio nyenzo pekee unayoweza kuitumia kwa binadamu mwenzako akusikilize otherwise ni jeuri ya pesa na kuoneshana nani ni nani. Bila hizi Imani mambo yangekuwa magumu sana.
Tatizo ni watu hutumia dini kufanya wenzao misukule kuwaagiza pesa ili kujinufaisha.
Dini sio tatizo ila tatizo ni binadamu.
Hayo masananu yameletwa na mtu mwenyewe au yameletwa na dini?dini zinapumbaza au mtu mwenyewe ndie mpumbavu.upumbavu wa mtu hauna uhusiano na dini
Ayo ni mapokeo ya miungu ya shetani sio Mungu wa Mbinguni Biblia imekataa kabisa ibada ya sanamu shida watu wanakua wavivu wa kusoma maandiko that's why Neno linasema tunaangamia kwa kukosa maarifa km uyo sasa anamkufuru Mungu wa mbinguni na kumchukiza akizani yuko nae sawa sawa 7bu ya mapokeo ya muovu yalio vamia Kanisa la Mungu akili zifanye kazi izi nyakati sio salama hata kidogo.dini zinapumbaza au mtu mwenyewe ndie mpumbavu.upumbavu wa mtu hauna uhusiano na dini
Hakuna watu duniani wamefanywa mazombi na makanisa kama watanzania ilanjamii haijaona kama ni tatizoDini hupumbaza watu zaiki kuliko kitu chochote. Dini haihimizi watu kufikiri, inawataka kila gumu wanalokutana nalo wasome vitabu majibu yao yamo humo, kwamba dini inafikiria kwa niamba yako, wewe akili uliyonayo ni kwa ajili ya kuvukia barabara tu.
Ndio maana unaweza kushangaa mtu anaua wenzake kwa mgongo wa dini, ni kwa sbabu dini imempumbaza na kumwambia ukiua ni baraka.
Sasa jana kaja dada yangu hapa kwangu, amekuja kufuatilia mambo yake binafsi kutoka mkoa mwingine. Amefika na mizingo(mabegi mengi), nikashangaa kidogo maana anasema atakaa siku 3 au 4 arudi kwake. Mojawapo ya hiyo mizigo ni begi moja kubwa lenye masananu ya watakatifu. Begi limejaa masananu. Usiku kabla ya kulala akayatoa sebuleni kwa ajili ya kuomba labla ya kulala, mara mtakatifu wa mambo magumu yaliyoshindikana, mara sijui mtakatifu wako binafsi, mtakatifu gani sijui.
Mimi ili kutomkwaza sister nikakaa sebuleni aombe tukalale, baada ya kumaliza kuomba akaanza kunihubiria, kuniambia niende kanisani nikaambiwe mtakatifu wangu binafsi wa kua ananiombea personally, sijui na mambo gani mengi. Sikutaka kumchallenge maana najua angekwazika sana alafu she is a little learned person. Basi kayaacha hayo masananu yake sebuleni.
Hakika dini ni ugonjwa mbaya sana, unapumbaza watu, dini ni ugonjwa unaoshambulia akili, kuidumaza, ni ugonjwa hatari kuliko hata saratani.
Hivi kumbe hapa Duniani kila mtu ana mtakatifu wake personally anaemsikiliza?
Sisi wenye imani yetu huwezi kututeganisha na kuabudu masanamu hususani lile mama wa Mungu.....na watakatifu wengine.......Ayo ni mapokeo ya miungu ya shetani sio Mungu wa Mbinguni Biblia imekataa kabisa ibada ya sanamu shida watu wanakua wavivu wa kusoma maandiko that's why Neno linasema tunaangamia kwa kukosa maarifa km uyo sasa anamkufuru Mungu wa mbinguni na kumchukiza akizani yuko nae sawa sawa 7bu ya mapokeo ya muovu yalio vamia Kanisa la Mungu akili zifanye kazi izi nyakati sio salama hata kidogo.
Karl Marx define religion as "collection of intimidation and threats to control and exploit human being"...............religion is a toal of capitalism in other waysDini hupumbaza watu zaiki kuliko kitu chochote. Dini haihimizi watu kufikiri, inawataka kila gumu wanalokutana nalo wasome vitabu majibu yao yamo humo, kwamba dini inafikiria kwa niamba yako, wewe akili uliyonayo ni kwa ajili ya kuvukia barabara tu.
Ndio maana unaweza kushangaa mtu anaua wenzake kwa mgongo wa dini, ni kwa sbabu dini imempumbaza na kumwambia ukiua ni baraka.
Sasa jana kaja dada yangu hapa kwangu, amekuja kufuatilia mambo yake binafsi kutoka mkoa mwingine. Amefika na mizingo(mabegi mengi), nikashangaa kidogo maana anasema atakaa siku 3 au 4 arudi kwake. Mojawapo ya hiyo mizigo ni begi moja kubwa lenye masananu ya watakatifu. Begi limejaa masananu. Usiku kabla ya kulala akayatoa sebuleni kwa ajili ya kuomba labla ya kulala, mara mtakatifu wa mambo magumu yaliyoshindikana, mara sijui mtakatifu wako binafsi, mtakatifu gani sijui.
Mimi ili kutomkwaza sister nikakaa sebuleni aombe tukalale, baada ya kumaliza kuomba akaanza kunihubiria, kuniambia niende kanisani nikaambiwe mtakatifu wangu binafsi wa kua ananiombea personally, sijui na mambo gani mengi. Sikutaka kumchallenge maana najua angekwazika sana alafu she is a little learned person. Basi kayaacha hayo masananu yake sebuleni.
Hakika dini ni ugonjwa mbaya sana, unapumbaza watu, dini ni ugonjwa unaoshambulia akili, kuidumaza, ni ugonjwa hatari kuliko hata saratani.
Hivi kumbe hapa Duniani kila mtu ana mtakatifu wake personally anaemsikiliza?
kuabudu sanamu ni ukafiriSisi wenye imani yetu huwezi kututeganisha na kuabudu masanamu hususani lile mama wa Mungu.....na watakatifu wengine.......
😆😆😆😆😆Karl Marx define religion as "collection of intimidation and threats to control and exploit human being"...............religion is a toal of capitalism in other ways