Pasta Joshua
Member
- Aug 2, 2020
- 23
- 131
Umeshawahi kujiuliza ni kwanini waliotuletea ukoloni na kutuuza utumwani ndio hao hao waliotuletea dini ?
Walitufundisha kusali tukiwa tumepiga magoti na tumefumba macho ,tulipofumbua tulikuwa na biblia na msaafu mkononi ,wao wakiwa na rasilimali zetu.
Walitufundisha ukondoo wa kukubali hadi visivyokubalika,ukipigwa shavu lakushoto ugeuze na la kulia na akunyanganyaye kanzu usimkatalie na joho ,Ili wabaki salama wakatufundisha kusamehe 7*70
Walituaminisha dini zao ni Bora zaidi kuliko zetu na wakapanda mbegu ya utengano miongoni mwetu Ili tusiweze kuungana dhidi yao .Leo hii tunavurugana, mkristo anajiona bora kuliko muislamu na muislamu anajiona bora kuliko mkristu.
Michezo