Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,438
- 3,951
Haya mawili huwa yana nichanganya kiasi. Mwenye uelewa anisaidie kujua dini za kishetani zinakuwaje na tabia za kishetani ni zipi.
Mavazi ni full blackHaya mawili huwa yana nichanganya kiasi. Mwenye uelewa anisaidie kujua dini za kishetani zinakuwaje na tabia za kishetani ni zipi.
Dini za kishetani ni kama ccm, na tabia za kishetani ni kama genge la utekaji linaloongozwa na sa100 suluu asaniHaya mawili huwa yana nichanganya kiasi. Mwenye uelewa anisaidie kujua dini za kishetani zinakuwaje na tabia za kishetani ni zipi.
Na mwisho ni watekajiMavazi ni full black
Msalaba wao juu ndio kurefu
Wana amri kumi
Ibada zao ni za uchi na zinahusisha ngono
Taa zao ni hafifu na za rangirangi hasa nyekundu
Ni wakimya sana lakini sio wapole
Nk
Anamaanisha dini za akina Gwajima. Tunataka kumsikia Gwajima akijibu tusi hili mapema kuelekea wikiendi hii.Haya mawili huwa yana nichanganya kiasi. Mwenye uelewa anisaidie kujua dini za kishetani zinakuwaje na tabia za kishetani ni zipi.