masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,371
- 19,235
jamani nimeshtushwa sana na hii kitu aisee
eti ili kujiunga inakubidi upige picha ukiwa umeshika karatasi iliyoandikwa i blv in yezus
jamani mwenye data atoe hapa
aiseee mshituko
Kujiunga nini?
unataka kujiunga?
Wanaompenda watajiunga naee lakini mim never.....
nipe data kumbe unaijuaa
na CCM
Naisikia tu
kanye au kunya
Mabwaku....
hapana nataka nijue tu kunanii
Halafu ukishajua kunaniii???
Utafute kwanza ufalme wa Mungu (Yehovah)....
mbona ueleweki wewe kujiunga nini? Ukitoa thread jaribu kufafanua we babuuKujiunga nini?