Mwijaku ni moja kati ya wafia dini ya Allah na anadai kuwa hata mtume alikuwa na chawa walioitwa Maswahaba na anadai hao jamaa walikuwa na makhaba na mtume hivyo si vibaya mtu kuwa chawa.
Kumbe Allah anaruhusu haya mambo au Mwijaku anatudanganya?
Mwijaku ni chawa pro max, ndio chawa namba moja, ni chawa mwandamizi akifuatiwa na baba levo, hawa wamejitanabaisha kuwa ni big chawa, ndio maafisa wa uchawa