Dini ni njia buniwa ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu iliyoshindwa vibaya kabisa.
Hii ni ngumu sana kumeza labda uwe na roho km ya Mshana..hapa panahitaji watu wenye kalama ili kumbadili huyu mwamba.Ushirikina haujawahi kufanya mambo mabaya hivyo kama yaliyofanya kwa kutumia dini.
Mkuu Kiranga pitia hapa Mr atheist uone Controversial ideas...Kila nikipima haya mawili katika mizania ya haki bado USHIRIKINA una nafuu kubwa katika uhalisia wake kuliko hiki kitu kizuri kiitwacho dini....
In terms of mambo mabaya kwa wakati mmoja na yaliyoangamiza watu wengi kwa mara moja uchawi unasubiri mbele ya diniHii ni ngumu sana kumeza labda uwe na roho km ya Mshana..hapa panahitaji watu wenye kalama ili kumbadili huyu mwamba...
Tukijivua koti la unafiki wa kidini na tukasimamia 'kweli' kwenye hili hakuna controversial yoyoteMkuu Kiranga pitia hapa Mr atheist uone Controversial ideas...
Huenda ndio Mana Lara 1 hakuhimili haya ya Mshana
Haya mambo yapo na yanafanya kazi,,dunia hii ni zaidi ya tunayoyaona kwa macho.Dini, uchawi, urogi, ushirikina, miujiza, maombi na mambo ya aina hiyo ni utapeli kama utapeli mwingine. Hakuna kitu kama hicho.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] dini ni lango lakini ama ni jumbaAchana na dini mkuu njoo kwa Kristo ufanane na Kristo, uwe m-Kristo.
YESU NI KRISTO
Mimi naelewa hivi:Maslahi yangu kiroho: mimi ni mshika dini kwa imani na dhehebu langu na nina hofu na Mungu
Dini ni njia buniwa ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu iliyoshindwa vibaya kabisa..chochote afanyacho mwanadamu chini ya jua hakina ukamilifu wa kimungu kwakuwa mwanadamu mwenyewe si mkamilifu
Ni katika kutengeneza huo mfumo uitwao dini binadamu anajikuta anajichanganya mwenyewe ama kutofautiana na mwenzake, ama kabila na kabila, imani na imani... Kufikia hapo ndio zikaanza kufumuka dini na imani za kila aina
Wanaomtaja na kumwamini Mungu wakawa na dini zao nyingi tu lakini ndani yao wakipingana wenyewe kwa wenyewe... Walioona kwa Mungu hakuwatoshi nao wakaanzisha dini zao lakini nao hawakuishia pema..ni mitufuano tuu...!!!Kila dini sasa bila kujali ni ya kumtaja Mungu mmoja ama miungu wakawa na mitume na manabii wao.. Na kila dini inawaheshimu na kuwatii sana sana
Ni kupitia michakato hiyo ya kidini kujitangaza na kutaka kukubalika zaidi ndani ya jamii mbalimbali duniania...Dini imejikuta kwenye mtanziko mkubwa wa mambo mabaya kabisa duniani
Ni kwa kupitia dini hizo mamilioni wamepoteza maisha yao kwa vita ya kidini ama kuuawa kwenye mabishano ya kidini
Ni kupitia dini hizo watu kwa maelfu wamepotea na kupotezwa na wasionekane tena
Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani wamepitia madhila na mateso makubwa sana
Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani, wameteswa, wamenyanyaswa na kudhalilishwa kwa kiwango kisichomithilika
Dini badala ya kuwa suluhisho imegeuka kuwa jinamizi litishalo ndani ya jamii mbalimbali
Ushirikina haujawahi kufanya mambo mabaya hivyo kama yaliyofanya kwa kutumia dini...lakini ushirikina unatumiwa vibaya na wanadini kama pitio na kimbilio la kutupia lawama na mabaya yote kuficha madhaifu yao kwenye dini
Inachekesha mno kiongozi wa dini anaposimama kwenye madhabahu na kuanza kukemea ushirikina kumbe jana yake tu alikuwa huko ama naye ni agent na muumini mwaminifu wa ushikirikina.. Viongozi wa dini zote hizi zinazoamini katika Mungu mmoja ndio kundi linaloongoza kwa kwenda kwa waganga wa kienyeji na ni waumini wakubwa wa ushirikina..!
Kila nikipima haya mawili katika mizania ya haki bado USHIRIKINA una nafuu kubwa katika uhalisia wake kuliko hiki kitu kizuri kiitwacho dini....!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umemaliza yote, Hakika Mungu yupo juu ya kila kitu.Maslahi yangu kiroho: mimi ni mshika dini kwa imani na dhehebu langu na nina hofu na Mungu
Hivyo, basi imani is inner expression of our response to God's love/revelation na dini is the external expression of our faith in God. Na imani msingi wake ni trust [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Magobe T nitakurejeaMimi naelewa hivi:
1. Mungu anajifunua kwetu (kwa njia mbalimbali)
2. Tunampokea Mungu kwa i) imani (kama nikitumia mchoro ni mstari wa wima) na ii) wakati huo huo tunatambua kuwa tunaishi na watu wengine katika jumuia na hivyo tunamwendea Mungu kwa pamoja (kuliko mtu binafsi) (kama nikitumia mchoro ni mstari wa mlalo).
3. Hivyo, basi imani is inner expression of our response to God's love/revelation na dini is the external expression of our faith in God. Na imani msingi wake ni trust. Mfano, ukiondoka nyumbani kwenda kazini (ofisini/kwenye biashara) muda wote unapokuwa huko unaamini kwamba ulivyotoka nyumbani asubuhi na sasa unarudi jioni utakuta familia yako/nyumba/mali/mazingira/babarabara etc kama ulivyoviacha na imani hiyo hiyo itakufanya utumie aina ya usafiri unaofika huko kwa sababu unaamini ndio utakaokufikisha nyumbani. Pia ukifungua kabati ulikotunza nguo zako unaamini pia utazikuta kama zilivyo na hata utaamini ufunguo unaotumia ndio unaofungua kabati na swichi unayotumia ndiyo itakayowasha umeme na ukilala unaamini pia kesho utaamka ukiwa mzima na kabla ya yote utavaa nguo ambazo unaaminini ni zako na siyo za mwingine etc. Sasa katika yote haya kama kufanya hivyo ndiyo ushirikina, then nitaamini kuwa ushirikina ndio una nafuu kubwa katika uhalisia kuliko dini. Hata kwa wazazi tunaamini ndio waliotuzaa, lakini we don't have any idea how we were born. We don't have any idea how we looked like at the time we were born. We don't know also what size we were at and how we grew to reach the size we have or the age we are at now.