Dini tofauti ila nampenda

basi nishaghaili kwanza ukijua utanicheka sana acha nikae nalo halafu kwenye stori zetu huko chimbo tushakutaja taja zaidi ya mara mbele kumbe anakuja kumwaga maubuyu huko SISEMI TENA utanicheka aisee
Babe hajui bwana ulitaka kusema nn
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi sisemi kwa sababu mnaweza kunivua nguo na mimi
ntabaki nalo bhana we endelea na kazi yako japo umekuwa mvivu siku hizi
 
Mwenye uzi akija kesho atajua uzi umeendelea kapata mawazo ya maana kumne tunamjazia tu pages mtakula ban
Huu uzi ni wa miaka 3 iliyopita hadi sasa atakuwa kashapata suluhu ya tatizo lake.
 
Babe hajui bwana ulitaka kusema nn
yani hapa ndiyo naamini kabisa kwamba unamwambiaga nimekuambia tukiwa wawili ntakuambia wewe unataka niseme hapa hapa

SISEMI TENA TENA TENA NA TENA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…