DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
jaribu kujua ndugu wa pande zote mbili wanalichukuliaje hili ili ujue unakabiliana na changamoto zipi kabla ya kufanya maamuzi
kwa jinsi navyoona naona bora mkaachana now ... mkienda mbali ni kubaya zaidi
Waachane tuu hukuna namna wewe miss chaga
asante ...Ushauri mzuri miss chaga
Achana nae aisee, au kama mnapendana sana mwambie abadili dini . Kuna mzee wangu mkubwa allikuwa na situation kama hyo lakini mwanamke akabadili dini wakafunga ndoa , wakapata watoto maisha yakaenda, sasa mzee amestaafu mwanamke amebadili tena dini na amefunga hataki.kupika hataki kutoa game nk. Amemtimua home
Fata moyo kitu inapenda, amin nakwambia utaleta mrejesho tu hapa, yatakayo kukumba ni kama haya
HESHIMA: watt hawatawaheshm coz ya upnzan wa kidn endpo wakigundua kwan kila mtt atajchagulia din aitakayo matokeo yake utackia leo yupo kw mch flan, kesho RC, CK IFUATAyo kw shekh.
AMANI: familia itakosa aman mama atataka mtt aend madrasa na baba atataka mtt aende mafundsho ya katekesi sasa pakipishana amani haipo tena,
UTAWALA: mama ndie anaeshinda na watoto atakapo kaa nao lazima kunastage mtt anapenda kuianza dini sasa mama anachojua ni islamc lazma amfundishe anachojua coz christian kaja kwenye ndoa mengne hajui.
MAADILI: Yatapungua kwenye familia penda ucpende.
IMANI: miongozo ya dini yako haiwezi kufanana na mwenzio vipindi vya mbalimbali vya kanisa vimetofautiana na vya islamic, eg, mwezi huu ye kazoea mfungo akifunga utapata shida kwa sheria zao wewe nawe vilevile upande wako unajua vipind vya mwaka wa kanisa.
KUWA MAKINI CHUKUA UAMUZI MGUMU
Hapo ni maamuzi magumu tu kwa faida ya baadae...
I'm in the same situation ila naona km hilo jambo ni gumu sana bora kutafuta mwingine
Apo kuna shida, ukiendelea nae kwa asilimia kubwa watoto watakua islamic maana yeye ndo atakua nao karibu zaidi kama mama, na iwapo mtaamua kufunga ndoa iyo ndoa itafungiwa wapi? kanisani au msikitini? Na ata mkiishi bila kufunga ndoa lazima mtatofautiana tu ikiwa wote mmeshika udini kwa kifupi lazima uyo binti abadili dini