Dini, siasa, mapenzi na pesa

Mtihani wa Mwanaume, Mke, pesa, Watoto, usipoagalia hivi vitu dunia utaiona chungu!
 
Na mwenyezi mungu amesema tutoe vile tunavyo vipenda.
 
Siasa kwanza kupata umaharufu ili upate pesa,ukiwa na pesa ,utapata penzi la kitanzania,lakini Dini kwa maana ya kumcha mungu ni vigumu ukitanguliza hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…