Kila siku au wiki unampelekea mwanaume mwenzio hela anachangisha na kujenga,kununua gari,kula vizuri,nk je wewe huoni kuwa unajiletea umasikini,majonjwa,nk?hufanyi kazi unashinda kanisani kutwa hutengenezi matatizo hapo?
Mimi nimeamka, lakini dini yangu haijaigawa Afrika. Kama dini ingeigawa Afrika, wakati wa kupata uhuru, dini nayo ingerudi huko ilikotoka, na waluoileta nao wangeondoka. Mtu anayesoma historia vizuri lazima atofautishe lengo la wakoloni (kutawala), na lengo la watangazaji wa dini (kuokoa). Wakoloni walikaa mjini, na walikuwa connected na serikali za nchi walukotoka. Watangazaji wa dini walikaa vijijini, na walikuwa kivyao vyao, na wengine walifariki kutokana na kuishi katika mazingira harsh kwa afya zao, na wala serikali zao hazikuwasaidia kwa kuwatibu, etc. Wangekuwa wote wako pamoja, Ina maana wakati wa nchi zetu kujitawala hata hawa watangazaji wa dini wsngerudi kwao. Badala yake, watangazaji wa dini waliendelea kuwepo, na tunaona kule walikoanzia wenyeji wana maendeleo zaidi kulinganisha na kule ambako hawakwenda.