Umesema kweli mkuu.Tulikuwa na dili za asili kila pahala ulimwenguni.. Kwenye baadhi ya maeneo mpaka leo zipo na zinaheshimika sana!
Dini hizi ni dini zenye imani juu ya miungu.. Zisizoamini katika Mungu mmoja
Binadamu huwa ni mwepesi kuchoshwa na kitu kilekile kwa wakati wote.
Zikaingia dini zenye kuamini katika Mungu mmoja. Pamoja na tofauti zao kubwa na ndogo lakini bado imani yao ni kwa Mungu mmoja mweza wa yote.. Hata mimi ni mmojawapo mwenye imani hiyo tangu kuzaliwa mpaka sasa
Dini hizi zikaenezwa ulimwenguni kote lakini bado zikishindwa kupenya kwenye baadhi ya maene
Kule ambako zilifanikiwa kupenya watu wengi waliachana na dini zao za asili na kupokea hizi imani mpya
Kwa karne nyingi mambo yameendelea kuwa hivyo lakini taratibu watu wameanza kuzichoka hizi dini zenye imani juu ya Mungu mmoja.. Walimwengu wanataka kitu cha ladha tofauti
Ziliibuka dini zenye imani juu ya shetani lakini uungwaji mkono sio mkubwa sana kwakuwa dini za asili zenye kuabudu miungu na dini mpya zenye kuabudu Mmoja zote kwa pamoja zinamchukulia shetani kama kumbe mbaya
Wao wanachotaka ni imani itakayoleta uwiano kati ya Mungu na miungu. Yani mtu aamini katika Mungu mmoja lakini wakati huohuo awe na imani nyingine ya miungu kama backup
Kwa wale waliowahi kuliona hili ombwe la kiimani waliweza kuchota mamilion ya watu kupitia dini za matukio miujiza na kwa sehemu kubwa ushirikina na mazingaombwe
Ndio hizi dini za watu binafsi zinazoitwa makanisa na vituo vya huduma za manabii ambao wanatembea Mulemule kwenye maandiko ya misahafu lakini matendo yao na mengineyo ni akisi ya dini za asili.
Hawa ni wa mpito tu hata hivyo kuelekea dini moja kuu ulimwenguni kote ambayo ndio itakuja kutawala ulimwengu
FaizaFoxy akija atasema ni uislamu.Hawa ni wa mpito tu hata hivyo kuelekea dini moja kuu ulimwenguni kote ambayo ndio itakuja kutawala ulimwengu
HAKIKA NI UISLAM.FaizaFoxy akija atasema ni uislamu.
Okokasasa nini maoni yako,mpango,ushauri,onyo,ghafiriko na hitimisho...?
FaizaFoxy akija atasema ni uislamu.
Hizi ndio dini za mapokeo zinazomaliza enzi zekeFaizaFoxy akija atasema ni uislamu.
makanisa na dini binafsi vinaongezeka ,lakini waumini hawaongezeki,wnanyang'anyana waumini wake wake,tu,Kipindi nasoma chuo ,niliwahi kumuuliza swali mwalimu wangu wa psychology,kuwa kwanini maranyingi unakuta mtu anatembea,aidha ameshikilia mkoba au funguo,za ofisini,gari,nyumbani anakuwa anazitingisha,tingisha,siyo funguo tu ,Bali hata pen,nk,japo siyo marazote,jibu la huyo mwalimu lilikuwa,mwanadamu awaye yote,pia hata natural creatures zipo katika hatua ya kutafuta balance ( center of gravity),hii ni asili ambapo ndiyo maana katika Imani Kuna mungu/ yesu na upande WA pili Kuna ibilisi/ shetani na matendo yake ,hii yote ni kutengeneza balance katika social gravity,akaendelea Dunia yote, na wanafizikia,wanauchumi,na wanasiasa,watawala nk wako katika kutafuta (center of gravity) za kiuchumi,siasa, Sheria nk,na ndiyo maana watanzania Leo ,tunang'ang'ana tupate katiba mpya,lengo ni kutengeneza balance ( center of gravity,) ya jamii hii ya watanzania katika mambo ya kiuchumi, kiutawala,kijamii,kibiashara,kimadaraka nk.
Kuhusu mada ya Leo Dini, ya asili ambayo imetangazwa kuingia sokoni,pia ni aina Fulani ya balance ( center of gravity),kwa maana dini zilizopo Sasa( za watu binafsi )zimekuwa maduka ya kunufaisha kiuchumi wakurugenzi wa dini hizo,ikitokea Huna pesa,na ni muumini wa dini hizi, inabidi uchague kuwa muumini vugu vugu au baridi,kwa maana inakuwa huendani na falsafa ya uchumi dini mbele ya mkurugenzi wa dini ile unayoifuata na kufanya Ibadan humo,Sasa kundi hili la vugu vugu na baridi nalo limekuwa kubwa Sana,kimeanza kutoa mshindo wa kutaka kubalance Mambo ili ile( centre of gravity )ifanye kazi vizuri kanuni ya asili ya kijamii lazima itende kazi yake "the universal law of diminishing returns" makanisa na dini binafsi vinaongezeka ,lakini waumini hawaongezeki,wnanyang'anyana waumini wake wake,tu,IL Hali kunakundi kubwa limeweka silaha chini.kwahiyo pale mazingira yanalazimisha iwepo balance,nafikiri ni muda muafaka Sasa,balance ichukue nafasi
Lawezekana Hilo?Okoka