Dini bora kwa jinsia ya kiume.

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
60,176
Reaction score
174,122
Kwa maslahi mapana ya uanaume ,dini bora ni uislamu, na mafunzo yake.

Kwa kuokoa kizazi hiki uislamu unapaswa uwe kwa kila jamii na sheria zake kamilifu.

Dunia ya sasa hii ndio dini dume iliyo bakia tu.

Binafsi sina dini ila nikipaswa nitaje dini kwa maslahi ya dunia ya sasa Islam ni namba moja.
.
 
Nachopendea uislam hakuna mwanamke kukusumbua, unaweza kumpa taraka hata kwa sms tu.

Sasa huku kwetu ndoa ndoano ndio zinatupa taabu na kujenga jeuri kwa wanawake. Baba paroko hayupo tayari kuwaachanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…