Matumizi ya Lugha ya matusi.. Yeye na mwenzie wote walitumikia adhabu kwa kushindwa kuhimili hisia zao kwenye public domain na kufikia hatua ya kutukanana.
Ni busara kuripoti pale mtu unapokwazwa na mwingine nasi tutatafuta suluhu. Si vyema kutukanana mitandaoni. Sheria za JF na hata za nchi haziruhusu.
Huyo Dinazarde mi nishamsamehe kwa kweli sina shida naye tena jamani. Unajua huku jf niko na Baba yangu wa kunizaa pamoja na Mama yangu ukitukana sasa unategemea nini maana Wazazi wote wananiona kinachofuata kugombezwa sasa na umri huu nigombezwe si bora nijifiche aibu ipite
btw karibu sana mpendwa pole na ban naomba tusamiane tulipokwazana Dinazarde
[quote uid=132738 name="Heaven on Earth" post=17131831]haaaaa Gobe wasamehe bure jamani... huyo mwingine umemsahau jina[/QUOTE]<br /><br /><br />Yaani mpaka waniombe msamaha kwa kweli waliniaibisha aisehhhh mimi nachangia sijui mtu sasa kumbe kikawa kinawakera. Walinitukana nikakimbia jf kwa muda kukwepa aibu
namtafuta shoga angu Dinazarde jamani, maana kuna issue tuliwasiliana
nae baada ya hapo naona kimyaaaaaaa... alie na mwasiliano
nae pls naomba ani Pm.. ni muhimu
Yaani mpaka waniombe msamaha kwa kweli waliniaibisha aisehhhh mimi nachangia sijui mtu sasa kumbe kikawa kinawakera. Walinitukana nikakimbia jf kwa muda kukwepa aibu